wasichana/wanawake wa JF wasaaidieni wenzenu ambao hawamo JF;

Rich guys don't chase...
if u wanna be chased...don't mind money much..

Trust me they are used to easy catch, once you make them chase it, they enjoy it better! I wish i didnt mind the money bt come on, how can love be expressed without money? NO FUN AT ALL!!!! Hahahahaaaa!

Rich guys these days
are being chased from left to right
its more fun to them also to see beautiful women chase them..

Mna heraaaa? Au mwataka kuoa bure bure 2? Ingia machimbo toka na jiwe thn uone, KIULAINIII...

Hao ni hela za ukubwani, basi ndo wanalipa kisasi kwa kutoswaa udogoni. Siwapendi wanakuwaga rude. Wale wa za kurithi ndo naowatakaga, used to getting all they want, sasa mi napendaga kuwachallange tu. LAW OF ATTRACTION inapply sana kwao, kuwa you will be attracted to what you cant get! LOLEST. Sema ndo MIZOMBIII hiyo!

funny hizo type za men unazokutana nazo
i never fits in those type lol
i guess my type are so few lol

funny hizo type za men unazokutana nazo
i never fits in those type lol
i guess my type are so few lol

Umejuaje! ndo type za kibongo bongo hizo, zingine ndo zile BABY LETS MAKE THIS YOUR TREAT, THE NEXT ONE WILL BE MINE! LOL! Next Haifiki. Mambo ya kubuy love yalinishindaga longi! Mwenye nacho tabu, asie nacho ndo usiseme!!! Hahahaaaaaaaaaaaaaa!

Out of curiosity what type are you?

kumbe zamani ulinunua?lol pole saana..

my type is rare i guess....
i just don't fit these many types i see women complains here
i don't chase that much,i don't call that much
i don't try to impress that much..
i care much about chemistry than looks

Hahahaaaaah! Nani anunue? Weeee! Nikisikia tu lipia wewe, nakimbia fasta!

YOUR TYPE IS REALY RARE!!!!! Hahahaaaa! Ujue type zimechange kuendana na environment. Life bongo tight sana, watu tuna survive! LOLEST

unaweza kuwa poor outside but rich in your heart..
vitu vingine i guess watu huzaliwa navyo labda...

but huwa sileti outside effects iathiri the way ninavyo ona life and people...

ukikimbia lipia,sasa hutaki kuitwa 'independet woman'? lol

Ila ukisema thread za wanaume kusaka wachumba huwa hazina comment unadanganya. Binafsi huwa najitahidi sana kuchakachua walau vipost 2. Well, nitaongeza juhudi ya kuchakachua.

Ss , dada yangu kuw na comment sio tatizo saana shida inakuja hiyo comment yako ina solve tatzo lake au inatoa mwanga, weng utakuta wana mkosoa labda na kumtia moyo na sio kumuangalizia hata labda ndugu au jamaa au rafik ulickia akitaman cku 1 kumpata mwenz wake..

Bado siamini kama humu JF unaweza kupata mwenza..
Sanasana naona ni full sanaa tu..
Halaf mleta mada hata waolewe vipi huwezi kuja kuona kuwa wanawake wamepungua mtaani..watakuwa wengi tu!!

Tatizo sio kupungua mtaan ndugu, angalau hapa kwenye hili jukwa ifike pindi paonyeshe kuna mafanikio fulan yanapatika, dont tak evr thng unpossible, hapa watu wanaweza kufanya jambo lamaana, hakika nakwambia..KUNA WATU WALISHA BADILISHWA TABIA ZAO HAPA!

Aisee umeongea point ya msingi wewee......unajua usione tunapishana tu mabarabarani humo na vyuoni, watu wanateseka bana kufikiria jinsi ya kumpata msichana.......maana wasichana wa siku hizi hawa ukimtokea omba mungu akubali, akikataa hapo utapaona hapatoshi.............nakumbuka kunasiku nilijitahidi, nikakusanya nguvu za kutosha na kuamua kumtokea msichana baada ya uzalendo kunishinda, ila sio siri kidume nilitupiwa maneno hapo hadharani kweupee mpaka nilitamani kuingiza sura mfukoni, ni hivyo tu haikuwezekana......toka siku hiyo sikuthubutu tena kutongoza.

Haahhaa..pole sana,ila me naamin kunwakati utakuwa na wako na ukikumbuka, utacheka saana, shida ya baadh ya wanawake wa ss wakiona kila mwanaume anamjia anaona baas..hatakaa akose wakumpenda,kumbe asikumbuke maisha ya EXPIRE DATE..

Mna heraaaa? Au mwataka kuoa bure bure 2? Ingia machimbo toka na jiwe thn uone, KIULAINIII...

P, unazungumzia KUPENDA KUPI HUKO?? kupenda kw dhati na malengo pesa inakaa mbali kidogo, na hata kama ikizungumziwa not in real cash.

Aisee umeongea point ya msingi wewee......unajua usione tunapishana tu mabarabarani humo na vyuoni, watu wanateseka bana kufikiria jinsi ya kumpata msichana.......maana wasichana wa siku hizi hawa ukimtokea omba mungu akubali, akikataa hapo utapaona hapatoshi.............nakumbuka kunasiku nilijitahidi, nikakusanya nguvu za kutosha na kuamua kumtokea msichana baada ya uzalendo kunishinda, ila sio siri kidume nilitupiwa maneno hapo hadharani kweupee mpaka nilitamani kuingiza sura mfukoni, ni hivyo tu haikuwezekana......toka siku hiyo sikuthubutu tena kutongoza.

Kwahiyo mpaka leo hujatongoza? Au unaogopa cha mbavu?

Akuuuuuu! Wanaume wa humu tunawajua wenyewe! BAHILI KAMA NINI, AFU WENGI WAONJAJI ONJAJI TENA BUREEEEEEEEEEE! Sijasikia hata mmoja akialika harusi, au hata kujipasishia na kuishi nae kinemela! Wenzio wanataka DOT COM atiiii, Ujihudumie ila amege! NANI ANATAKA LAWAMA!!!!!!!!! Ya ngoswe ngoja niwaachie ngoswe

LARA unauza?
Maana inaonekana roho inakuuma kweli ukibanduliwa bure...

Last edited by a moderator:
Aisee umeongea point ya msingi wewee......unajua usione tunapishana tu mabarabarani humo na vyuoni, watu wanateseka bana kufikiria jinsi ya kumpata msichana.......maana wasichana wa siku hizi hawa ukimtokea omba mungu akubali, akikataa hapo utapaona hapatoshi.............nakumbuka kunasiku nilijitahidi, nikakusanya nguvu za kutosha na kuamua kumtokea msichana baada ya uzalendo kunishinda, ila sio siri kidume nilitupiwa maneno hapo hadharani kweupee mpaka nilitamani kuingiza sura mfukoni, ni hivyo tu haikuwezekana......toka siku hiyo sikuthubutu tena kutongoza.

Maaanina!
Ndo maana mie domo zege siku zote, ukiona natoa pasi ujue mtu wangu ashafungua chumba...

Haahhaa..pole sana,ila me naamin kunwakati utakuwa na wako na ukikumbuka, utacheka saana, shida ya baadh ya wanawake wa ss wakiona kila mwanaume anamjia anaona baas..hatakaa akose wakumpenda,kumbe asikumbuke maisha ya EXPIRE DATE..

Acha tu mkuu, yani hawa wadada hawa......mtu unajitahidi kumueleza ukweli lakini bado hata hakuelewi

Back
Top Bottom