Sobhukwe
Member
- Jun 2, 2018
- 30
- 32
Habari zenu wadau.
Nimepanga nyumba moja hivi mjinj. Nyumba hii ina masista duu watatu hatari ambao ukikutana nao barabarani lazima zipu ikaze. Yaani ni mademu haswaa!! Lakini wanakasoro moja ya uchafu.
Uchafu wao ni kurundika chupi chafu vyumbani mwao. Kwanini nasema hivyo, maana siku wakiamua kufua chupi wanajaza kamba zote hadi wengine tunashindwa pa kuanika. Chupi zao zinakuwa kama mapambo ya 'father krismas' kwenye kamba.
Nadhani hata zile wanazo vaa siku zao waziweka getoni mwao tu. Lakini ukikutana nao nje, fulu kujinyunyiza unyunyu. Hawa hawana tofauti na jeneza lililopambwa alafu ndani limebeba maiti.
Dada zetu acheni uchafu wa kurundika chupi chafu magetoni mwenu. Mptuuu! Tema mate kule.