Wasichana wanaopenda kunywa vinywaji vya bei ghaliii

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.
 
mmmh we una matatizo gan na mademu wa dzain i?
asubuio umepost mademu wanapenda kupiga mizinga nw unasema wanapenda vya ghrama..
wewe unajisifia sana ukikutana na ao vmeo vyako
jaribu kuwa in low profile naamin hawatakuumiza...sasa km umemwakikishia aaaahh wewe oda chochote beb sa kwanini asiode anachokipnda bla kujali bei?
unawapeleka sehemu za gharama wakat unapoke laki 2 na nusu kwa mwez unategema nini?
ebu nipishe mie:car:
 
Sasa si wewe ni buzi.
Mi nikitoka na demu simpi nafasi ya kuagiza mipombe yake, namwambia hebu leo onja valuer
 
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.
Siku moja nenda nae then mwache aagize vya bei juu bila kuuliza na ukipata nafasi unaondoka na kumuachia kazi ya kulipa,nadhani atajifunza kutaka kunywa vya bei ya juu kupitia migingo ya watu
 
haha!!!kwakweli hlo si suala la kushangaza,kwani unapoamua kutoka na mtu out uhakikishe una vya kutosha kwasababu kila mtu ana uhuru wa kuagiza kila akipendacho ilimradi tuu muwe mmekubaliana tangu mwatoka hom,,sasa wewe utakua wa ajabu tena sana kumsema mwenzio eti anaagiza vya bei ghali..loo!!!kuwa muwazi kabla hamjafika eneo lenyewe afu uone kama ataagiza vya ghali.:ear:
 
Hivi kwa nini ukitoka na demu outing wanapenda kunywa drinks za bei ghali bila hata kujua kama una hela au la. Utakuta anajishebedua eti anataka kunywa cinzano, martin, redbull, amarula. Cha ajabu wakiwa wenyewe wanagonga konyagi, tusker, kilimanjaro.

Ingawa mlio wengi mmepinga mtoa hoja,, ukweli unabaki palepale kwamba akina dada wengi wataagiza vinywaji vya gharama.. wakati wakitoa fedha mifukoni mwao hawavigizi vinywaji hivyo vya gharama. kwa kweli inakuwa vigumu sana kumwambia mtu usivywe hiki au kile, so it remains for an individual person ku-deal na case...
 
tabia yako ya kuanzisha thread,
kisha unabaki unachungulia tu,
mi sipendi bana,
siku nyingine ntakuibukia nikutwange makwenzi!!!!!
 
Basi shetani. Siku nyingine siagizi tena amarula, nitaagiza chai.

Chai za Steers bei yake usipime! Bora mkitoka out muwe mnaenda kwa Vibanda vya Mama Lishe au kwenye klabu za Komoni na Mbege
 
napenda hii avatar yako CPU!,
Nina wasiwasi kama rose wangu ataliweza hilo pozi!!!
 
Ingawa mlio wengi mmepinga mtoa hoja,, ukweli unabaki palepale kwamba akina dada wengi wataagiza vinywaji vya gharama.. wakati wakitoa fedha mifukoni mwao hawavigizi vinywaji hivyo vya gharama. kwa kweli inakuwa vigumu sana kumwambia mtu usivywe hiki au kile, so it remains for an individual person ku-deal na case...

Unaonaje hapo ktk BLUE ukaitoa ukaweka KAKA POA aka MTOTO WA WATU??? Nadhani itapendeza zaidi
 
napenda hii avatar yako CPU!,
Nina wasiwasi kama rose wangu ataliweza hilo pozi!!!

Kwanza Rose mwenyewe unamsimamia mazoezi ya viungo?? Au unamlisha tu?? Unampa kila kitu anachotaka??
 
Hujui akiwa mwenyewe anaangalia uwezo wake,
Kama ni mwenyewe anaweza kununua kilimanjaro Konyagi
Akiwa na wewe anywe ambavyo hawezi kununua akiwa alone so anataka vya bei gari ili iwe kumbukumbu.
Maana ukisha mmega utamwambia leo sina pesa ya kunywa hivo so tunywe kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom