Wasichana wambea

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Wasichana wambea wakiongea.

Girl 1~~~Mwaya nimeolewa

Girl 2~~~Oh,hiyo ni nzuri dia

Girl 1~~~No,siyo nzuri ni mbaya,mana ana sura mbaya.

Girl 2~~~~Oh kama hivo ni mbaya kweli

Girl 1~~~No si mbaya mana ni tajiri.

Girl 2~~~Oh,basi ni nzuri

Girl 1~~~No ni mbaya,mana huwa hanipi hela

Girl 2~~~Oh hiyo ni mbaya

Girl 1~~~Si mbaya mana ameninunulia nyumba nzuri

Girl 2~~~oh hiyo ni nzuri

Girl 1~~~~siyo nzuri mana nyumba iliungua

Girl 2~~~Oh hiyo ni mbaya

Girl 1~~~~No siyo mbaya,mana nyumba ilipoungua ye alikuwa ndani wakaungua wote.
 
Girl1-duh iyo mbaya sana shosti

Girl2-sio mbaya shosti maana nyumba yenyewe nimeichoma mimi,ila nimekomba hela zote kwenye akaunti

Girl1-oh,basi nzuri iyo

Girl-sio nzuri maana hela zote kakimbia nazo yule bwanaangu 'serengeti boy' Juma

Girl2-aaahaa!kale ka-Juma nakajua mie sikapendi,kanajiskia sana,anajiona bramamen sana..hiyo mbaya sana shosti

Girl1-sio mbaya shosti,juzi usiku Juma kanipigia simu anaomba turudiane,anasema ananipenda anataka kunioa,ila nimpe lile Benz aliloacha mume wangu atembelee

Girl2-waoooh,iyo nzuri shosti
 
Hata kama ana sura baya na viguu kama fito, we mkubali hvyo hvyo sasa kama ukimkataa ni lini utaendesha gari??
 
Wasichana wambea wakiongea.

Girl 1~~~Mwaya nimeolewa

Girl 2~~~Oh,hiyo ni nzuri dia

Girl 1~~~No,siyo nzuri ni mbaya,mana ana sura mbaya.

Girl 2~~~~Oh kama hivo ni mbaya kweli

Girl 1~~~No si mbaya mana ni tajiri.

Girl 2~~~Oh,basi ni nzuri

Girl 1~~~No ni mbaya,mana huwa hanipi hela

Girl 2~~~Oh hiyo ni mbaya

Girl 1~~~Si mbaya mana ameninunulia nyumba nzuri

Girl 2~~~oh hiyo ni nzuri

hiyo mbaya ah no nzuri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom