Wasichana wa uswazi v/s wa kijijini

uswaazi watoto watamu ile mbaya!ukianza game NI MWANZO MWISHO MTARIMBO UKO JUU!

watoto wa kishua MBADO SANA!muda wote wanaangalia saa tu wawahi nyumbani

mtoto wa uswazi unaenda kumchukua ijumaa unaweka kambi had jumapili jioni

Nahisi kinachokufanya kufagilia sana watoto wa Uswazi ni kwa kuwa wanaoatikana kirahisi, na pia hawana gharama sana. Zao ni voucher na vitu vidogo vidogo tofauti na watoto wa kishua.

Ila tatizo la watoto wa Uswazi usafi uko chini ya kiwango kutokana na shida ya maji na hata mazingira wanayoishi. That can easily turn me off!!!
 
Ila dada yangu hiyo avatar yako ina kasheshe ya nguvu!!

Nakushukuru sana kwa kusikiliza ombi langu. Inaonekana wewe ni msikivu sana. Natumai Mungu atasikiliza maombi yako kwa mwaka mpya wa 2010 hata kama utaomba mapacha >6 kwa mpigo. Ubarikiwe saaana.:rolleyes:
 
Asante sana ubarikiwe ewe mji mweusi
 
Nahisi kinachokufanya kufagilia sana watoto wa Uswazi ni kwa kuwa wanaoatikana kirahisi, na pia hawana gharama sana. Zao ni voucher na vitu vidogo vidogo tofauti na watoto wa kishua.

Ila tatizo la watoto wa Uswazi usafi uko chini ya kiwango kutokana na shida ya maji na hata mazingira wanayoishi. That can easily turn me off!!!
weweeeeeee MASAKI!....

watoto wa uswazi wanajifukiza UDI masaa yote!huko ''ikulu'' kupo SAAAAAAAAAAFI tofauti na watoto wa kishua na mipafyumu yao!....
 
Asante sana ubarikiwe ewe mji mweusi

Pamoja na kubadili avatar, lakini huo mkao wa avatar hii bado unaleta mushkeli flani hivi! Lakini at least sasa naweza kubonyeza vibatani kwa amani!
 
wapwazi na mabinamuz ninataka kufahamu nani mkali kati ya uswazi na bush. uswazi wamesifiwa sana according to nguli's sredi je na wale wa bush ambao ukikaa vibaya viatu unavikuta kwenye friji, gari likipita lazima asimame na huwa wanasalimia kila mtu n.k, sifa kama zile alizosema prof J kwa wale wanaoifahamu hiyo nyimbo. tuachane na lile suala la wakishajua mjini huwa hawakamatiki (vichechez) tuache hilo, tuangalie heshima zao, maadili, mila na desturi zao. nani anafunikaaaa?

Wa uswazi zaidi kwani maraa nyingi huwa ni mchanganyiko wa ubush na utown. Lakini wa bush reachability yao iko limited kwa sababu ya mazingira na dhana kuwa hawataki kuonekana kuwa ni machangu. Ila ukibahatisha wa bush aliyechetuka utakimbia make huwa hawachelewi kukufunga kanga huku akikuimbia nyimbo wakati wa majamboz.
 
weweeeeeee MASAKI!....

watoto wa uswazi wanajifukiza UDI masaa yote!huko ''ikulu'' kupo SAAAAAAAAAAFI tofauti na watoto wa kishua na mipafyumu yao!....

Hehehe! Ze Pillaz! Najua lazima unuse kunako ikulu! Angalia ikulu nyingine zina midudu!
 
Hahaha! Zile ukinusa unaibuka na full makemikoz! Unaweza babuka kwa mudomo!
we acha tu!
asilimia kubwa ya watoto wa-kishua WAMESHAABORT!they have killed their babies!sasa unaweza pata picha ya ile process na hali halisi ya ''ikulu''

watoto wa uswazi RAHAAAAAAAAAAAAAAA UTAMU!...wakipata mimba WANAZAA TU:D
 
Pamoja na kubadili avatar, lakini huo mkao wa avatar hii bado unaleta mushkeli flani hivi! Lakini at least sasa naweza kubonyeza vibatani kwa amani!

amani yako ndio furaha yangu mshiki anytime, your wish is my command
 
WA-BUSH si sahihi kuwajaji kuwa hawana mashauzi!WABUSH HAWANA EXPOSURE!ndio maana wakija mijini WANACHETUKA!watoto wa uswazi hawana presha!wanaishi pembezoni mwa miji na wanajua kila starehe ya hapa mjini....!

kazi kubwa kwao wanayowashinda hadi ninyi watoto wa kishua ni kwamba WANAYAWEZA MAPENZI

Well said Geoff, nimekugongea thanks
 
wasichana wa bush, si kama zamani hawana heshima kam unavyofikiri. hafu ni washamba, wasojua lolote, lakini kwenye mapenzi wanajua mana bado wanafundishwa na jamii zao. ila wa uswazi ndo wazuri na wanafaa.
 
Watoto wa kiswahi wana mashauzi sana, halafu sikui kama siku hizi kuwa watoto wa kijiji kwani nao wako matawi ile mbaya kwenye majambozi sema tu hawana pamba
 
Yaani mama kama watoto wa-kishua wangekuwa na kitu cha ziada kinachowafanya WAJIONE EXPENSIVE mimi ningewahonga hata uhai wangu!

bahati mbaya sana WANAWAKE NI WALEWALE!kibaya zaidi watoto wa uswazi WANAWAFUNIKA WATOTO WA KISHUA kwenye kila idara!

Heri ya Mwaka mpya kwa wote!
Watoto wa Uswazi wana ujanja mwingi, ikiwa ni pamoja na kutumia vitu vingi visivyo rasmi. Mfano kuna mafuta mafuta, madawa huwa wanatumia ndio maana unaweza kuwaona wako bomba kumbe feki. Hebu, nikuulize, haujawahi kuagwa anaenda washroom 5 or 10 minutes before the game? Kama yes umeliwa. Siwezi kutoa details zaidi hapa.
 
Back
Top Bottom