Wasichana wa uswazi v/s wa kijijini

heri ya mwaka mpya kwa wote!
Watoto wa uswazi wana ujanja mwingi, ikiwa ni pamoja na kutumia vitu vingi visivyo rasmi. Mfano kuna mafuta mafuta, madawa huwa wanatumia ndio maana unaweza kuwaona wako bomba kumbe feki. Hebu, nikuulize, haujawahi kuagwa anaenda washroom 5 or 10 minutes before the game? Kama yes umeliwa. Siwezi kutoa details zaidi hapa.


wizi mtupu! haya yanaweza kabisa kufanywa na hata hao wa kutoka ushuani. Au za kwao ni za kubandika ukishatumia unabandika mpya na ile nyingine haina kazi tena?
 
Heri ya Mwaka mpya kwa wote!
Watoto wa Uswazi wana ujanja mwingi, ikiwa ni pamoja na kutumia vitu vingi visivyo rasmi. Mfano kuna mafuta mafuta, madawa huwa wanatumia ndio maana unaweza kuwaona wako bomba kumbe feki. Hebu, nikuulize, haujawahi kuagwa anaenda washroom 5 or 10 minutes before the game? Kama yes umeliwa. Siwezi kutoa details zaidi hapa.

Umenena haswa hapo kwenye green, vingi ni vijukuu vya bibi Aga, Nakutakia Heri Ya Mwaka Mpya umenifurahisha sana.
 
D wa Ushuani ni bora zaidi ya demu wa USwazi, kimaadili na malezi . Mtoto wa uswazi hawezi jichanganya na wakishua bila kujiona yuko tofauti kimaongezi na kivitendo.
Watoto wa kishua wengi wamelelewa kwa malezi mazuri na ya upendo zaidi tofauti na wakiswazi wenye maisha magumu na malezi mabaya.

Mtoto wa kishua anapo toka na mtoto wa uswazi , hata huyo demu awe mzuri vipi atagindulika katika maongezi pale atakapo jichanganya na marafiki wa mpenzi wake na kumfanya ajione hajafit in kwenye group hilo.

Kwa uzoefu wangu nimegindua hata matusi na lugha chafu ziko zaidi uswahilini kuliko huku ushuwani, wakati nakua sikuwahi sikia baba or mama akitukana au wazazi wa marafiki zangu wakitukana .

Inapo tokea umajichanganya na watoto wa uswazi na ukatukana basi ujue ukifika home una semewa na kuchapwa na hurudii tena .

Nilipo kuja kukutana fammilia za uswazi, utakuta mama anathubutu kumuita mwanae, "We mwana k*manina , ulikuwa wapi siku nzima" mbele ya watoto, na pia , marafiki zangu wengi wa uswazi ndio walio kua na lugha chafu kupita nilio kua nao marafiki wa kishua.

Kwa ujumla malezi ya kishua ni mazuri zaidi na hilo linapelekea kua na demu wa Kishua kuwa bora zaidi ya demu wa uswazi ,suala la kitandani ni ujanja tuu wa demu mwenyewe.
 
Watoto wa kishua virungu kibao mapenzi kiduchu na kitandani hovyo kabisa, muda wote anawaza kukuchuna tu
 
Na kwa wale wanaozama chumvini, siyo mjini uswazi au kijijini ndio wanakula kila takataka za kila aina, teh teh teh, madawa ya kichina, limbwata, udi. Ngoja mtakuja kuchubuka ulimi au naniliu. Aisee kuna dawa za kichina na Thailand nasikia wanatumia zinauzwa kila mahali zinaongeza joto, na marupurupu mengine mengine, achilia mbali zile za sangoma's
 
Vijijini siku hizi vicheche wengi na ukimwi unawaswaga sana. Life huko ngumu si kama zamani. Si unasikia huko mikoa ya mipakani na madereva wa malori?
 
Back
Top Bottom