Wasichana wa uswazi v/s wa kijijini

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
wapwazi na mabinamuz ninataka kufahamu nani mkali kati ya uswazi na bush. uswazi wamesifiwa sana according to nguli's sredi je na wale wa bush ambao ukikaa vibaya viatu unavikuta kwenye friji, gari likipita lazima asimame na huwa wanasalimia kila mtu n.k, sifa kama zile alizosema prof J kwa wale wanaoifahamu hiyo nyimbo. tuachane na lile suala la wakishajua mjini huwa hawakamatiki (vichechez) tuache hilo, tuangalie heshima zao, maadili, mila na desturi zao. nani anafunikaaaa?
 
watoto wa uswahilini HAWANA MAPOOZ si kama wengine!
WADUMU WATOTO WA USWAZI
 
Mbona wa-bushi pia hawana mashauzi? kwanza hawayajui uswahilini wengi vipepe
WA-BUSH si sahihi kuwajaji kuwa hawana mashauzi!WABUSH HAWANA EXPOSURE!ndio maana wakija mijini WANACHETUKA!watoto wa uswazi hawana presha!wanaishi pembezoni mwa miji na wanajua kila starehe ya hapa mjini....!

kazi kubwa kwao wanayowashinda hadi ninyi watoto wa kishua ni kwamba WANAYAWEZA MAPENZI
 
Lakini mbona watoto wa kishua wako fiti, vithong, vikuku, cheni za shingo ya kati n.k, hao wenu wa uswazi hata lip shiner hawaijui kwanza hawajui kuoga, uswazi kitu gani bwana
 
Nani alikudanganya vikuku nakadhalika ndio mapenzi? Mapenzi ni shughuli ndani ya sita kwa sita baada ya mahanjam mengine ya kukolezea!
 
Lakini mbona watoto wa kishua wako fiti, vithong, vikuku, cheni za shingo ya kati n.k, hao wenu wa uswazi hata lip shiner hawaijui kwanza hawajui kuoga, uswazi kitu gani bwana
USWAZI KUNALIPA MAMA!
lipshiner mnazijua ninyi watoto wakishua!

sisi tunataka watoto wanaoyajua mapenzi!sio ninyi mnajua kusimuliana isidingo.....!tukiwapeleka kitandani viuno vikavu kama kuni za kitonga
 
siku hizi watoto wa kishua wanaenda unyago kakwambia nani mambo hawayawezi, nyie semeni mmeamua kubadilisha kutoka kuku wa kisasa kwenda wa kienyeji
 
watoto wa-kishua hamna kitu!
mshindo mmoja tu MAJASHO KIBAO!.....wanaanza kutafuta chupi iko wapi!mapafyumu yote kwishnei!

halafu wamekauka kweli!yaani watoto wa kishua bila bila

uswazi mtoto masaa 24 mashine ipo WET,READY:D
 
Hivi wewe naniliu ni mtoto wa kishua/uswazi/bushtreka? Nataka nifanye komparizoni na avatar yako. Unajua hapa sipo mbali na toilet, naweza malizia mambo kimtindo kama utakuwa mtoto wa uswazi!
 
mpwa wa ukweli za asubuhi!!!!!
 
Hivi wewe naniliu ni mtoto wa kishua/uswazi/bushtreka? Nataka nifanye komparizoni na avatar yako. Unajua hapa sipo mbali na toilet, naweza malizia mambo kimtindo kama utakuwa mtoto wa uswazi!
****** tena? we Yosefu seremala vipi tena?
 
Lakini mbona watoto wa kishua wako fiti, vithong, vikuku, cheni za shingo ya kati n.k, hao wenu wa uswazi hata lip shiner hawaijui kwanza hawajui kuoga, uswazi kitu gani bwana

hehehe,, naniliu unajua kuna watu wana sura za mbele ni za kuboost japo za uani hazina noma!

Sasa unakuta wa ma lip shiner inabidi kuboost mambo la sivyo hakieleweki! wa uswazi hahitaji kuboost!
 
siku hizi watoto wa kishua wanaenda unyago kakwambia nani mambo hawayawezi, nyie semeni mmeamua kubadilisha kutoka kuku wa kisasa kwenda wa kienyeji

wanakwepa gharama tu hawana lolote, wanaogopa shopping za namukat wanataka wa kuwapeleka tandika sokoni.....starehe gharama bwana.
 
hehehe,, naniliu unajua kuna watu wana sura za mbele ni za kuboost japo za uani hazina noma!

Sasa unakuta wa ma lip shiner inabidi kuboost mambo la sivyo hakieleweki! wa uswazi hahitaji kuboost!
Uswazi watoto hawahitaji KUBOOST!wao walivyo wamejikubali na wanaridhika!

watoto wa kishua miyeyusho sana mazee!......

wanapenda sana PLATONIC-LOVE
 
Lakini mbona watoto wa kishua wako fiti, vithong, vikuku, cheni za shingo ya kati n.k, hao wenu wa uswazi hata lip shiner hawaijui kwanza hawajui kuoga, uswazi kitu gani bwana
..Nani kakwambia mazee??!. watoto wa uswazi kwenye game wako fit sana unaweza kukamua mpaka bao 3 na mtoto yuko sawa. Sio wale wa geti chips mayai ukimgonga vizuri bao moja la nguvu ujue kumpata tena baada ya miezi mitatu na mizinga mingi mara vocha mara anataka kwenda kiwanja mara anataka blackberry ili mradi kila kukicha anaku-invoice tu!
 
Back
Top Bottom