Wasichana wa UDSM, IFM ,Ustawi, CBE wanajiuza Club Ambiance

Status
Not open for further replies.

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
wasichana wa ifm,udsm,cbe,ustawi ndo kundi kubwa linaloongoza kujiuza club ambiance sinza wakitafuta ada za chuo na wengine waliookosa.....mikopo hivi viongozi wa vyuo vyenu wanafahamu hili
 
Kwa maisha na mwendo huu wa wengi kuachiwa kutafuta kila kitu,am not suprised
 
hivi hamna solutions ya kuwasaidia hamuoni wanadhalilika kwani selikali halifahamu hili......jamani hii ni aibu jana nilikuwa na msichana wa ifm anasema anatafuta ada ya chuo ......
 
Kwa hali hiyo watajafaidi hiyo elimu yao na hili gonjwa?
 
mkuu ungesema hivi;
wasichana wa ustawi na udsm wanajiuza ambiance,cbe na ifm wanajiuza bill's na break point.wale wa uhasibu kurasini na tumaini kurasini na duce wanajiuza club masai kurasini.mia
 
anasoma degree ya taxation mwaka wa kwanza........so alinisimulia wanavyoojiuza club mbalimbali na wateja wao wakubwa ni waarabu na wazungu.....kwani ndo wanaopenda sana kwani sio wabahili
 
Anasoma degree,cheti au diploma...

Atakuwa anachukua degree ya kwa bibi nyau huyo,mazuzu wengi wanadanganywa sana na vicheche vya Mtogole,utasia oooh ni mwanafunzi uliza anachukua nini sasa hapo ndio unaweza ukazimia.
 
hivi hamna solutions ya kuwasaidia hamuoni wanadhalilika kwani selikali halifahamu hili......jamani hii ni aibu jana nilikuwa na msichana wa ifm anasema anatafuta ada ya chuo ......

wewe ungemwambia akutajie course content ya hiyo Taxation ya hapo IFM, Mda mwingine wanakua wadanganya ili uwaone wana thamani kumbe kanyanga tu Tandale.
 
wewe ungemwambia akutajie course content ya hiyo Taxation ya hapo IFM, Mda mwingine wanakua wadanganya ili uwaone wana thamani kumbe kanyanga tu Tandale.
kweli Hamy D, Mi nisahongea na kicheche hapo Ambiance akaanza hizo niko SUA natafuta ada pia namsomesha mdogo wangu....nikamuuliza uko course gani akaniambia marketing; Kidogo nicheke kwa sauti! wengi fiksi, wanafunzi hawajiuzi kwa staili hizo...zao huwa ni kukaa na kusuiria ofa za bia then baada ya hapo unaweza kung'oa mzigo...na huwa hawatangazi dau mbele; unawatoa asubuhi
 
Hahahaha nilikuwa runaway last month na machizi wangu wanasoma ifm sasa kwa nyuma kulikuwa na mademu wawili wanabargain wa mzungu sasa mimi nikawa nimeshawasoma nikwamwambia rafiki yangu aliye ifm ageuke awacheki hao mademu kumbe wote wanasoma ifm sasa nw dayz hata wakikutana kwenye korido demu anakimbia
 
Unajua malaya wengi wanapenda kujifanya wasomi wakati ni waongo. ukichunguza unaweza kukuta ni form four au six sasa ili kukukoleza anakwambia nasoma UDSM, IFM, CBE au TIA.
Kama huamini wewe fuatilia utatambua hao sio wanafunzi bali ni full malaya ambao wapo hapo club muda wote kuanzia usiku.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom