Wasichana wa siku hizi mnafanya kazi ya mtongozo iwe kazi rahisi sana

Kusema kweli wadada wengi wa siku hizi mnatufanya sisi wanaume tupoteze uwezo wetu ule makini wa kutongoza .

Haiwezekani we mtoto wa kike unasimamishwa ile kusimama ukiombwa namba unatoa kirahisi rahisi bila ata kubembelezwa na ata ikifikia wakati wa kutongozwa neno moja tu basi jibu linalokuja ni ndio lakini utaweza kunihudumia?.

Sasa nyie mnafikiri sisi wanaume vichaa eeeh au hatuna Akili lazima tuseme ndio na hapo mtatiki then ukishachanua paja tuna move on.

Badilisheni mbinu muwe wagumu kidogo mnatupa tabu sana sisi wanaume wa huku mjini tukipata ile shift ya kwenda kusalimia vijijini tukifika kule mtongozo wake ili kupata mtoto inabidi ujipange tena aswaa maana mtongozo wake kule ni wa ana kwa ana.,

Mnatufanya tuonekane timbulo(domo zege) kwa sababu ya mazoea mnayotuzoesha ,

Siku hizi mwanaume ukitongoza demu una Asilimia 99 ya kumpata yaani unaanza kufikiri jinsi ya kumkunja ata kabla hujamtongoza kwa kuwa unajua ukimtongoza hawezi chomoa.

Mko so easly kwa kweli Raha ya demu umtongoze kwa ugumu ili ata ukimpata unasema kimoyo moyo kwa zile mbinu nilizotumia naweza kufanya ata maajabu ya kutengeneza bomu la nyuklia.
Goli bila chenga halinogi.
 
Badilisheni mbinu muwe wagumu kidogo mnatupa tabu sana sisi wanaume wa huku mjini tukipata ile shift ya kwenda kusalimia vijijini tukifika kule mtongozo wake ili kupata mtoto inabidi ujipange tena aswaa maana mtongozo wake kule ni wa ana kwa ana.,:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Vipi mkuu naona umekazia kabisa
 
Vipi mkuu naona umekazia kabisa
vijijini tukifika kule mtongozo wake ili kupata mtoto inabidi ujipange tena aswaa maana mtongozo wake kule ni wa ana kwa ana. :D:D:D jamaa kanifurahisha sana nimekumbuka mbali kijijini nilivyo kuwa nagombaniwa
 
Sawa tutakuwa wagumu. Hv wanaume mnadhani wanawake hawana hamu ya kugegedwa eeeeh kwa taarifa yenu hata sisi tuna hamu ya gegedo na muda mwngne huwa tunatamani gegedo tofauti tofauti na mdinyo wa tofauti kama nyie mnavyotamani.
 
umeongea ukweli hadi nimekupenda safi sana,
 
Hey bae,zakushinda?? Polena majukum
ahsante luv, nashukuru hii siku imeisha salama nilikuwa na siku ndefu sana leo

huu ujumbe wako umenipa nguvu na kupata amani moyoni

sina sababu ya kuacha kukupenda, wewe ni sababu ya kufanya niamini katika mapenzi
 
again natabasam, am happy seeing you happy, napenda utabasam na wewe ucheke muda wote usiache
 
Back
Top Bottom