Wasichana wa kihabeshi

Mimi afisa uhamiaji nataka unionyeshe vibari vyake vya kuishi hapa nchini. Maana magaidi wameanza kunyemelea afrika mashariki wanakuja kwa njia hiyo hiyo ya kutafuta wa chumba
 
Jamani wanaojua tabia wa wahabeshi mnijuze yaan( wenye asili ya ethiopia) ndo wanaitwa wahabeshi.kuna msichana mmoja niko nae na mahusihano nataka km mambo yakienda poa nioe kabisa

Acha mambo ya kizamani wewe, kuuliza eti "wahaya wana tabia gani"!!!!!!!...mapenzi ni yenu wawili, kuoa mpaka uulize JF?....AAAAAAAAAAAAAAARGH!
 
Katika pitapita zangu nimekuja kuona hawa wa Ibisinia hawanaga ile kitu kufunga ndoa au mahusiano na watu wasio wabisinia (wahabeshi) hata huko kunako mataifa ya nje vinginevyo kwa sababu hana jinsi anatafuta njia ya kupita. haina maana kukusitishia penzi lako kwao, ila tu kwa utamaduni na mapokeo ya kikwao kama walivyosema wengi hapo juu wanajali zaidi asili na damu yao kwa walio wengi. Kwa urafiki wa kawaida tu ni watu wazuri sana na wanajisikia wa kutoka Afrika Mashariki, lakini hapa kwenye mahusiano si vipaya ukachukua tahadhari kama unakusudia awe mwenzi wa maisha isije ikawa anatafuta nafasi tu ya kusetirika.
 
Ni wazur mno,ila baadhi wanajidhalilisha kwel uarabun cku moja niliwaona kundi wakiwa chini ya ulinzi Rafik Haril Inter.. Airport wakisubir kurudishwa kwao baada ya kukosa kaz za u housegirl aise nilitamani nimchukua mmoja nije nae bongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom