wasichana wa JF tuna.......? Au wanaume wa JF ni.......?

jamani mbona mnachakachua thread ya ujira wa mwiha wangu?semeni kuhusu wasichana kutokuanzisha thread kuhusu vipasel/vidumu mnavyovizimia.mia
 
Labda PM ..harooo ni ngumu lakini..hehehehe maana kuna watu PM wanahamishia hadharani
kazi kweli kweli

FirstLady1,

Duh...wanadhani Ujiko ha ha hahaha!


Kuna kidada nakijua humu JF aisee kinamegwa balaa haha hahha member wengine wapo kibiashara zaidi!!!! ngoja siku nitakaumbua lolz

Hako usijali,kamebisha hodi kwenye anga zako nini? kubali tu kuunda nako serekali ya umoja wa kitaifa....MR,kape shule bwana maanake kasije kakaumia.hiyo biashara si hala'l
 
jamani mbona mnachakachua thread ya ujira wa muha wangu?semeni kuhusu wasichana kutokuanzisha thread kuhusu vipasel/vidumu mnavyovizimia.mia

dah, ...asante kwa kunikumbusha hili kabila.
Siku nyingi nilikuwa najiumiza kichwa kujaribu likumbukia!
 
dah, ...asante kwa kunikumbusha hili kabila.Siku nyingi nilikuwa najiumiza kichwa kujaribu likumbukia!
ukitaka kujua wewe ni mbu mimi chandarua chenye dawa soma tena post yangu.mia
 
Hiyo ipo toka enzi za mababu zetu! Ni mara chache sana utakuta mdada anamwambia mkaka kuwa anampenda! Atamwonyesha tu signals!
Kwa JF utaona mdada anacomment kwenye kila thread au post yako

Khaaa!
Hii itakuwa kali ya kufungia mwaka, so ndo kusema wadada waache kucoment au? Hapa nahisi utakuwa umechemsha, sina hakika kama mdada akicoment post ya mkaka sana ni ishara ya kumzimikia... Mawazo yako hayakubaliki kama MALARIA!
 
Husninyo bwana...Mdada gani atazimikia Mi Avatar yetu...angalia Avatar za wanaume mwenyewe utakimbia hata hamu ya kuzimikia itapotea...By the way mie simo..maana mie nilimdondokea mmoja na sio kumzimikia.
watu washazimikiwa wewe, upo wapi! Mi mwenyewe nauandaa moyo wangu uzimikie.
 
Wadada jf wakikupenda kweli watajikausha kimya...Ukiona wanajitangaza kuku zimikia ujue wana ku enjoy.....lol
hehehehe! Hilo nalo neno eeh! Ila hata wanaume wa jf wakitangaza tangaza wanakuwa wanatuenjoy tu.
 
Back
Top Bottom