wasichana wa JF tuna.......? Au wanaume wa JF ni.......?

mapenzi siyo kitu cha kufanya hadharani, ulishwahi wanyama tu ndiyo wanaweza kufanya hivyo. Humu ndani kuna watalaam wa kugonga hodi kwenye Private za watu? Ningekuwa kiwembe ningeshalala na watu 50, kutokana na message zao tu wanazonitumia. Sasa kwa wengine vipi? Si vema mtu kulleta habari za fulani kanitongoza ila hatushangai mtu akikuPM kukwambia anataka game.

P
 
Labda PM ..harooo ni ngumu lakini..hehehehe maana kuna watu PM wanahamishia hadharani
kazi kweli kweli
 
Uwiiii ..no comment pole CD:happy:
 
Siku hizi ni fashion watu kumegana hadharani wanasema ni utamaduni mishipa ya aibu imekatika.

Alafu na huu mgao wa umeme dah watu wanamalizana uwanjani wanasema ndani joto
 
Aisee, tangu nijiunge sijaona thread ya mdada wa JF kumzimikia mkaka, kama ipo mtu aniwekee link. Hadi sasa nina kumbukumbu ya wadada 12 wa jf walioanzishiwa na wakaka threads za namna ya kuzimikia zimikia. Huwa najiuliza ina maana wadada wa jf tunaogopa kuonesha hisia zetu hazarani?, tunajiheshimu hatuzimikii zimikii hovyo?, Tunaweza kuzizuia hisia zetu au ni kwamba wakaka wa Jf ni wakware (baadhi)?
Nawatakia ijumaa njema.
Mimi penda wewe.

Hata mimi zimiazimia wewe tu hakuna mingine.............kwa hiyo changamkia tenda wasije wakakuzidi kete wajanja humuhumu ndani ya jamvi.........lol
 
Kuna kidada nakijua humu JF aisee kinamegwa balaa haha hahha member wengine wapo kibiashara zaidi!!!! ngoja siku nitakaumbua lolz
 
Tafadhali MR usitoe siri, hivyo ni vikao vya baraza la mawaziri na huwa siri kubwa, hata ukifanikiwa kujua unakausha tu.
 
Kuna kidada nakijua humu JF aisee kinamegwa balaa haha hahha member wengine wapo kibiashara zaidi!!!! ngoja siku nitakaumbua lolz

Mmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh maria Roza..................wajamani MMMMMMMMmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Kwi kwiiiiii hahha habari ndo iyoo hakuna siri @ duniani :bange: Yani naka enjoy tu haha hahhaaaaaaaaaaa
 
mmh mi nilihisi sipendwi na wadada wa humu JF,...ngoja niwe mvumilivu ningoje spidi yao sasa!! coz mi ni bonge la handsome
 
Back
Top Bottom