Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Habari zenu wote.

Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii

NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11
 
huu ni uongo rudia research yako kwa vipimo usilete udhanifu hapa
 
ur rite kwakweli,if he cheated on her,he will cheat on you.
 
mmh shostito apo kuna mawili mama
1.kuna aliyeachana na mkewe kwa sababu za msingi kabisa
2.kuna walioachana na wake zao kwa ugume gume wao....
cha msing siyo kukupuruka ....mkae vkao na umdadis kwakina ndo utajua nin kilimsibu kinyume na hapo imekula kwako
km vile kuna wanawake mashetani...i do blv umesoma boardng skul hasa za wasichana tupu yan kuna bnadamu wengne wana tabia ngumu sana huwez ishi nae ,awez ishi na mtu she z so dfcult so hard ni mbish kwa kila kona yeye yupo kivyake tu na idea zake iki ni kisu lakin anaweza sema i ni sufuria...kuna tabia mbalimbali mpk mnasema mmh uyu atakaye kuwa mume wake atakuwa na tabu....alikadhalika na wanaume the same...ni mbishi tu mwanzo mwsho iz ol abt him thats ol....so km ikitokea umemuoa uyo na badaye ukashndwa nae apo mi ntaelewa....kuna bnadamu wengne si wakuish nao.
 
Habari zenu wote.

Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii

NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11

NB: 2. Pia usikubali kuoa janajike lililoachika kwa mmewe
 
DENA hii research yako sikubaliani nayo hata kidogo sababu wanaume 25 ni idadi ndogo sana, halafu pia hapo kwenye nyekundu mbona wanaolewa wengi tu na wanaume walioachana na wake zao
 
habari zenu wote.

3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii

nb: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11

kama ndio hivyo basi hata mwanamke aliyeachana na mumewe kamwe asiolewe
 
DENA hii research yako sikubaliani nayo hata kidogo sababu wanaume 25 ni idadi ndogo sana, halafu pia hapo kwenye nyekundu mbona wanaolewa wengi tu na wanaume walioachana na wake zao

Sijasema research ni kwamba niliyowashuhudia kwa macho yangu. Hao wanaoolewa waulize kinachowapata huko ndani
 
:whoo: hiyo yote ni hatari , mahusiano na wanaume au waknawake walioaachika ktk ndoa zao
la msingi ni kuchunguza kama kweli aliachana huyo mwenza kwa sababu za msingi!
mahusianio ni magu mu na ndo yanachukua sura kuwba ya jamii yetui ya sasa ukizingatia magonjwa yamejaa tele
 
ur rite kwakweli,if he cheated on her,he will cheat on you.

lets get the facts straight you just overlooking things na kujipa hopes zisizo na msingi labda kama mnataka kuwa watawa ambayo na yenyewe ni mchezo wa kuigiza
 
Uncle, sikubaliani nawe mbona kuna 2nd marriages ambazo ni successful.
 
Jana nilikuta na wana jamvi kibao Arusha maeneo fulani kwa wengi niliowaona na kuambiwa kuwa ni wanachama ni watu waelewa na wana uzoefu na maisha sidhani kama mafataki wanaopenda kudanganya watu hovyo wana nafasi jf. Wanaoweza kupendana kwa dhati ni poa kwao ila matapeli poleni
 
n b4 kumkubalia asi utakuwa umemwuliza muktadha wa kukutaka/sjui kukupenda(uongo)
km atataka chapa ilale asepe poa aseme peupe
km akitaka kukufanya cape of good hope pia aseme
au wewe mwenyew waweza soma alama za nyakat....ukajua anataka nin kwako
km ushajua anataka akufanye kikanyagio tu kwa miez sjui kwa siku moja then asepe kwa mke wake utakubali?
wasichana inabd tujitambue na tutumie akili zetu katika kujua wanaume wanataka nini kwetu lakin km mtu husika ni GOLDGER awez fikiri ayo yote ye anataka chapaa basi ukitaka ukae ukitaka utambae as long chapaa anapata bas yatosha....
tumien kamuda kdg kuchunguza mwanaume anakutakia nini ...km chapa ilale mwambie aendae kndon km ana nia bas mchunguzane kwanza mpk ujiridhshe....USIKURUPUKE CZ WANAUME WAWATU NI SUMU+AIBU KUTEMBEA NA LEO UYU KESHO YULE
TUJICHUNGE NA TUJIHESHIMU CZ MIILI YETU NI HEKALU LA ROHO MTAKATIFU.
NAWAPENDA WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTE.
 
Dena umenikwaza!!mimi ninampenzi wangu humu na anajua niliachana na mtu sasa siataanza kuniwekea kinyongo??Hiyo reseach za kinguruwila acha go deep in reseaching!!
 
KK pole sana lakini nimesema niliyoshuhudia sio research ya nchi nzima tafadhali nielewe
 
Sijasema research ni kwamba niliyowashuhudia kwa macho yangu. Hao wanaoolewa waulize kinachowapata huko ndani

Sasa Dena unataka kuniambia hao 25 ndio wanarepresent wanaume wote Tanzania nzima kama ndio hivyo basi hata mimi naweza nikafanya uchunguzi wangu halafu baada ya hapo nikawaambia wanaume wasioe wanawake walio na watoto just know kwenye mapenzi it depends with the situation don't take things kama vilivyo then ukavifanyia conclusion saa zingine utakuwa una mislead wenzio
 
Dena Amsi Umeshawai ishi maisha ya Ndoa?
Ktk maisha ya ndoa,inatokeaga kutoelewana au kujifanya kujua kwa mmoja wa wanandoa ndio chanzo.nishe shuhudia mke wa jirani yangu,mumewe akisafiri na yeye anamwachia nyumba ausgeli wake anatimukia kwa mambwana na sio bwana.yule mama alikuwa na mabwana 4 hivi apart mumewe na mmoja kati ya hao 4 alimjengea glosary kwa pesa za mumewe.Mume alijitaidi vikamshinda,one day hawa 4 walijigungua kuwa demu anawachanganya wakachukua gest wakamla mande at a time(wakamwambia if all 4 ni wako then let do it pamoja)Mumewe baada ya apo aliomba divorce tena toka kanisa Katoliki na paroko wake akampatia jammaa ameo tena last year.
Pia wapo wanaume wengine awavumiliki kwa ubazazi ktk familia zao.wapo wanao sex na mausgeli wao au shemeji zao(wadogo wa wifez)
Sio kweli kuwa walio achwa na wapenzi wao ni vimeo
Nnaunga na Rose kuwa inabidi uchunguzi kwanza sio kukurupuka
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom