Wasichana wa chuo na mavazi nusu uchi

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Kiukweli hawa wasichana wanaosoma vyuo vikuu ni washenzi na elimu ya kujitambua thamani yao nahisi hawana, yani kila kukicha ni kuvaa nusu uchi nimezungukia vyuo vingi ni viwili tu ndo naona wanafunzi wake wana behave kwa kuvaa nguo za heshima hasa pale MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO NA SUA.

Nipo huku SAUT nakaa karibu na chuo yani ni balaa tupu chuo kimewapiga marufuku kuvaa nguo za ajabu hawa mabinti lakini hawasikii yani msomi hana tofauti na kahaba au changudoa.

Wanawake wa chuo mjue mnazidi kujidhalilisha wenyewe mnaona kama mnaenda na wakati wakati gani wa kukaa uchi mkibakwa mnalalamika na mkimegwa na kuachwa mnalalamika, mjue thamani yenu inashuka.
 
8ae3ac584b6ef319a208c43c61f043c4.jpg
 
Njoo na huku Arusha University, tunavaa vizuri kuliko, mpaka na rokoo ipo, kutoka kwa ruhusa, ole wako uongozane na bint, kurudi mwisho saa 12 jioni!
 
Back
Top Bottom