Wasichana huwa wanaanza kutulia na mpz mmoja wakiwa katika umri gani?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Eti wakubwa,hawa wadada huwa wanaweza ku2lia na mpenzi mmoja wakiisha fiksha umri gani?maana me nimeisha toka na wa age ya 19-24 bt naona tabia zao zko sawa tu,yani wote niliokutana nao ni mapepe tu.
 
hapo hakuna swala la age, umapepe ni tabia ya mtu, haijalishi mkubwa wala mdogo.
 
Ebana, hilo nalo neno!! mi navyoona akifikisha kwenye 27 na kuendelea wanaanza kujiona wako wapweke na wanahitaji mtu.
 
wasio na hela wengi 27 to 30 wanatulia ili waolewe,walio nazo kidogo ni tabia,kama ana sirka ya umapepe ni mpka kufa kwake,kama hana sirka bali ana umapepe wa kuiga 30 to 35 anaacha mana anajua itakula kwake
 
Eti wakubwa,hawa wadada huwa wanaweza ku2lia na mpenzi mmoja wakiisha fiksha umri gani?maana me nimeisha toka na wa age ya 19-24 bt naona tabia zao zko sawa tu,yani wote niliokutana nao ni mapepe tu.

Aisee senetor mie leo sichangii kbs maana ww sred zako zote wanawake tu tena kwa mambo mabaya tu yani tangu nimejiunga jf, hujawahi kusifia hata siku moja as if hujawahi kufurahi nao hata siku moja nimechoka ati!
 
sasa mkuu,kama naona kuna kitu hakijakaa sawa nisitoe dukuduku langu?
 
Kila siku jamani mara hakupigii simu ,mara umemtumia msg ya kumwacha hajibu,leo umekuja nalipya dah,kwa kweli hata km ni kutoa madukuduku leo nishasema sichangii ng'o,tuletee na sred za umsifia wakati ule umedata naye japo nione aprisiashen,ww mabaya yake tu kila siku!
 
Aisee senetor mie leo sichangii kbs maana ww sred zako zote wanawake tu tena kwa mambo mabaya tu yani tangu nimejiunga jf, hujawahi kusifia hata siku moja as if hujawahi kufurahi nao hata siku moja nimechoka ati!

Twe'nzetu sweetie, these things are so much boring!!
 
Kila siku jamani mara hakupigii simu ,mara umemtumia msg ya kumwacha hajibu,leo umekuja nalipya dah,kwa kweli hata km ni kutoa madukuduku leo nishasema sichangii ng'o,tuletee na sred za umsifia wakati ule umedata naye japo nione aprisiashen,ww mabaya yake tu kila siku!

Cantalisia hujambo my dear? hadi hapa ushangia mamy, yaani bora ungefungua tuu halafu uuchune, ila kwa sababu ushaingia tuendelee tuu. karibu
 
Ni bora sreds zake zingekuwa zinamzungumzia mtu mmoja ningemuona yeye anahaki ya kumuita huyo mtu mapepe. Lakini ukiangalia sreds zake zote utagundua yeye ndo mapepe!! Funny enough anajiona yeye ni kilume ndago hivo kuwadisqualify alotoka nao!!
 
Sijambo kbs my dia,najua nishaingia lkn ndio na mie natoa madukuduku yangu kwa mheshimiwa japo amsifie huyo shostito kidogo coz naamina hata km ana mabaya yake ila kuna mazuri pia,yan jamm wiki nzima ni mabaya ya shost tu!nishakaribia ila ni kwa mwendo wa kugoma kuchangia positively!
 
Ni bora sreds zake zingekuwa zinamzungumzia mtu mmoja ningemuona yeye anahaki ya kumuita huyo mtu mapepe. Lakini ukiangalia sreds zake zote utagundua yeye ndo mapepe!! Funny enough anajiona yeye ni kilume ndago hivo kuwadisqualify alotoka nao!!

mwanzenu aliambiwa ili aingie kwenye kundi la premium Member, inabidi apoat nyuzi nyingi na kuchagia post nyingi, so jamani mwacheni zjitendee haki, mpeni mwenzenu sapoti apande level ingine, Lol
 
Ni bora sreds zake zingekuwa zinamzungumzia mtu mmoja ningemuona yeye anahaki ya kumuita huyo mtu mapepe. Lakini ukiangalia sreds zake zote utagundua yeye ndo mapepe!! Funny enough anajiona yeye ni kilume ndago hivo kuwadisqualify alotoka nao!!
Na mie leo huu ndio utakuwa mwendo wangu,unakumbuka sred yake ya jana,yan hata yeye haeleweki ndio maana hata yule bint alipoona msg ya kuachwa alimradharau!ona leo hajui bint anatulia akiwa na umri gani atatulia kwa mtu ambaye hajajitambua!
 
Umeona eee,ur rite swty napanda ngazi nakuja lol!sie kila siku leo nimegoma kbs senetor nisamehe bure!

Njoo mwaya! Haya mabaya anayoyasema kila siku, ina maana yeye hajawahi furahishwa hata siku moja? Or yeye ni perfect sana kiasi kwamba makosa wanatenda wenzake tu?? Au kwa sababu mwenzake hawezi kuja kusema hapa jamvini??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom