Wasichana: BirthDay 3 kwa Mwaka

mwalimu277

Member
Apr 14, 2016
18
54
*Kadri Mbinu zao zinavyozidi kujulikana ndivyo na wao wanavyobadili mbinu na kuja na New Models za kufikisha Ujumbe*
*WANAITWA WANAWAKE*
*Ile style yao ya Bebi naomba Laki 3 nna shida ntakurudishia after 1 week ilifeli..Ikaja ya Baby naomba Laki 1 ya Saluni nayo ime* *expire...SASA:WANA MUPYAAAA,Bado inanukia Upya kama Telegram...*
*Unakutana na demu,baada ya Wiki 2 anakwambia Birthday yake imekaribia na Hana Hela..Ukimuuliza lini Bday yako anakwambia This Weekend Baby..Unamwambia sawa.Ukizingatia ndo mmeanza-anza hata uvungu hujapewa,kila kitu unajibu Yes kama* *Questionnaire ya uchumba.*
*Profile yake ya Facebook inaonyesha Birthday yake ni November 22....Birthday aliyokupiga* *mzinga ni February 15..Sasa unajiuliza huyu mwenzetu ana Birthday 2 kwa Mwaka??*
*Na ukimpa hiyo hela hata Birthday hutaalikwa,utaambiwa tu Baby,Ndo naenda kwenye Birthday tunafanyia huku kwa Bamkubwa huku Mbweni,tuko na shangazi yangu wa Hombolo na Wajomba zangu wale wa Ihumwa* *wamekuja...Ukitajiwa Bamkubwa hutakuwa na hamu hata ya kwenda.MZINGA SUCCESSFUL..*
*Na huo mzinga wa Birthday anakuwa kawatumia MSG Wanaume kama 20 hivi,10 wakimpa hata utwente flani,tayari ana laki 2,unashangaa demu hana kazi,ndo anasubiria majibu ya Form 6 lakini ana IPhone Ya Apple mpya,we unakazana kunyonga tai kurukia DCM za Keko Na Mwendo Kasi deile na kikwapa juu na mshahara wako wa benki una Nokia Asha button zimechokaaaaaa*
*ENDELEENI KUTUKOMESHA....Demu una Birthday 3 kwa mwaka?mi nakuchora tu,au mwenzetu ulizaliwa kwa mafungu,February Kichwa...June Kiwiliwili...November Miguu"*
 
Truth of the matter is, you can only attract your kind. One time in a mill, will a gadner score a decent mama.

(Gadner: a certified fcuk-boy).
 
Wanaume wa Dar walalamishi kama nini,Boss kama hutaki gharama nenda kanunue sabuni nyingi then jiunge kile chama chenu,watoto wazuri tuachie sisi wahongaji,waache warembo wajilie vyakwao bhana,kwani hao wanawake huwa wanakufuata uwatongoze au ni wewe ndio huwafuata,u are a man and u have to take 100% responsibility mkuu...
 
Back
Top Bottom