Wasi wasi mwabulambo usitangaze ndoa kufurahisha jamii clouds fm umedhamiria??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,016
Pengine kuna maneno amesema kibonde ukiyasikia utaishi maisha mazuri kwanza amekupongeza pili akauliza naamini wazo la kumpongeza mtarajiwa bday yake leo tatu akasema anaamini wazo la kutangaza ndoa kwenye redion limetoka moyoni na si kuiifurahisha jamii ndugu yangu wasiwasi kuanzia leo jua umetangaza vita na wale vimada wote waliojua unawaoa jua huyo binti nae ametangaza vita na wale waliotarajia kumuoa sasa basi kama kweli nawawish maisha mema muoane kama mlivyojitangaza kwenye redio na mungu awasaidie mjialinde na maovu yote ya uzinzi jifunze kumheshimu mwenzio kabla ya nndoa mtaishi maisha mema
all the best
mkuu
pdidy
 
Back
Top Bottom