Washukiwa wa ugaidi kutoka Tanzania wakamatwa kabla kuingia Somalia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,729
48,275
Vijana kutoka Tanzania, bwana Omar Mwalimu Kasambe alias Juma Abbas Zuberi (28) na Ali Juma Kaondo (17) walikamatwa karibu na mpaka wa Kenya na Somalia.
Hawakua na stakabadhi zozote za usafiri, na walipohojiwa wakasema walikua wanakwenda kutafuta ajira za ufugaji wa mifugo kwenye mji wa Moyale.

Simu zao zilikaguliwa na kubainika walikua wamewasiliana na watu fulani ndani ya nchi ya Somalia. Kwa sasa wanashikiliwa na kitengo cha kupambana na ugaidi ili kuhojiwa zaidi.
---------------------------------------------------------

Detectives from Anti-Terror Police Unit (ATPU) have arrested two Tanzanians on suspicion that they were travelling to Somalia to join Al-Shabaab. Isiolo County Police Commander Charles Ontita Tuesday said the foreigners were arrested by the detectives along the Isiolo-Moyale road near at the junction leading to Garba-Tula.

‘‘The officers on patrol stopped the bus heading to Moyale from Nairobi and found the two foreigners who did not have valid travel documents,’’ said Mr Ontita.

Omar Mwalimu Kasambe alias Juma Abbas Zuberi (28) and Ali Juma Kaondo (17) told the detectives that they were travelling to Moyale to take up jobs of herdsmen they were offered there. Unconvinced, the cops searched their mobile phones and found several contacts with Somalia cell phone numbers.

‘‘They told the police officers that the Somalia numbers are for people they communicated with regarding the job offer,’’ said the officer. Ontita said the Tanzanians were arrested and taken to Isiolo police station. They are suspected to be heading to Somalia to join Al-Shabaab terror group. The officer said investigation that will also involve ATPU detectives from Nairobi and other State agencies had started.
Read more at: Anti-terror police arrest two Tanzanians suspected to be Al Shabaab recruits
 
Hao wafanyeni mnavotaka msiturudishie huku. Faiza Foxy yuko wapi?
 
baada ya kuhakikisha kuwa ni wagaidi watarajiwa, wanyongwe ama wachomwe moto...
 
Je kuna ushahidi kwamba hao washukiwa ni watanzania? Maana kwa hii tension chochote kinawezekana.
 
Back
Top Bottom