Washitakiwa wa EPA ni WATU waaina gani haswa...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Washitakiwa wa EPA ni WATU waaina gani haswa...?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Humble Servant, Nov 7, 2008.

 1. H

  Humble Servant Member

  #1
  Nov 7, 2008
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mod na wana JF,
  natanguliza kuomba msamaha kwa kuanzaisha thread mpya though related to EPA, nina hamu sana ya kutaka kuwafahamu zaidi ya majina watuhumiwa wa sakata hili!!!!naomba yeyote anaejua chochote juu ya hawa watuhumiwa anisaidie ni weze kuwajua watu hawa in brief

  1.Jeetu Patel na ndugu zake wawili Devendra Patel na Amit Nandy
  2.Bahati Mahenge,
  3.Manase Mwakale,
  4.Davis Kamungu,
  5.Godfrey Mosha
  6.Eddah Mwakale
  7.Farijala Shaaban Hussein
  8.Rajab Shaban Maranda
  9.Arusha resident Japhet Laiyandumi Lema
  10.Ketan Chohan
  11.Johnson Lukaza

  A:kama kuna wafanyakazi wa BOT walioshtakiwa ni kina nani na wanavyeo gani??
  B:kama ni wafanya biashara wana biashara gani??
  C:visomo vyao kama vitapatikana
  D: connection zoa na political leaders
  E:any other info that you think will help us to know what kind of peple are they!!!!

  natanguliza shukrani
  mwenye info
   
 2. Zero

  Zero JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 301
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  I can't wait to read their profiles!
   
 3. MyTanzania

  MyTanzania Senior Member

  #3
  Nov 7, 2008
  Joined: Sep 9, 2008
  Messages: 107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wengi tungependa kujua hayo mambo jamani
   
 4. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2008
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tunazitaka taarifa zao kwa kuwa ni haki kwetu kuzipata.

  Lakini moyoni ninasikia kengele za kudanganywa zikilia. Naona wazi kuwa wale walengwa haswa kama ndo wameshakwepeshwa na dhahama.

  Moyo wangu bila kuwaona akina RA, EL na YM wakipanda mahakamani nitaendelea kuamini kuwa hatua inayochukuliwa bado ni kiini macho tu. Nitataka mwisho nisikie MSEMAJI wa CCM akienda mbele ya vyombo vya Habari akiomba radhi kuwa Sehemu kubwa ya hizo fedha zilitumika kwa ajili ya kampeni zake katika uchaguzi mkuu 2005.
  Hapo vita ya ufisadi itakuwa imefanikiwa
   
 5. H

  Humble Servant Member

  #5
  Nov 7, 2008
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kaka, taratibu mambo yata anikwa hadharami na wanaojificha kwa stail ya mbuni kuzita kichwa wataumbuka, ndo maana tunataka tuwajue watu hawa ili kuweza kuunganisha moja na mbili kujua walioko nyuma yao, maana nasikia wengine ni vijana wadogo tu wasio naelimu wala ujuzi sasa ndo tunataka kujua walio watumia kina nani???

  tusaidieni kwa anae mjua yeyote kati ya hao hapo juu atujuze
   
Loading...