Washington International University

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
Nafikiri serikali ya Tanzania(SISIEM ),inabidi itoe heshima ya hali ya juu
kwa chuo hiki kwa kuelimisha Viongozi wetu wengi kuanzia Mh Lukuvi (BA degree ) Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam ,Mbunge wa Ukonga Mh Makongoro kwa kupata Phd na wengineo wengi.

Keep it up Washington Int.University kwa kuchangia elimu ya Tanzania
 
Duh, makubwa haya. Lukuvu darasa la SABA kasoma PhD?? Fees ni ngapi ili watoto waliofeli form 4 mwaka huu tuwapeleke kusoma PhD huko
 
Ana BA ya Washington University!Sio Phd.Mwenye Phd fake ni Makongoro wa jimbo la Ukonga.
 
Ana BA ya Washington University!Sio Phd.Mwenye Phd fake ni Makongoro wa jimbo la Ukonga.

Lukuvi siyo ya Washington Univ bali Washington Int Univ. Note tofauti.
Nagu pia ni PhD ya Washington Intl University.
 
Back
Top Bottom