Washili wampa go ahead(Baraka) Joshua Samwel Nassari huko Arumeru....

Hakuna ushahidi wa kutosha kwenye hili, picha imejificha ficha sana, nani anaweza kuthibitisha kwamba huyo anayeshikwa kichwani ni nasari?
 
Mbuguni wanasema kweli cdm lazima itumwe bungeni kipindi hiki. Wanadai kama ubunge ni matunda, basi NASARI naye akachume bana!
 
Leo nlikuwa na mkuu wa washili,iyo kitu hakuna.ama kuna utaratibu wa mapresdaa wengi ktk nchi moja.duh chadema waongo sana.
 
Hii mbona imekaa mahali pake kisawa sawa. Tendwa njoo na lingine maana hawa washenzi hawakamati. Kila kona wameenea kama nyuki.
 
Wameru sababu za kumchagua Nassari tunazo, nia tunayo na uwezo tunao. Kinachosubiriwa ni tarehe 1 April 2012.
 
Isije ikawa picha hiyo imechakachuliwa. Nani ana uhakika angalau wa asilimia 50 kama picha "hilo" ni ya kweli?
 
Hakuna ushahidi wa kutosha kwenye hili, picha imejificha ficha sana, nani anaweza kuthibitisha kwamba huyo anayeshikwa kichwani ni nasari?
aliyeshikwa kichwa ni tendwa, katibu wa propaganda na uenezaji wa umbeya majimboni...!
 
Leo nlikuwa na mkuu wa washili,iyo kitu hakuna.ama kuna utaratibu wa mapresdaa wengi ktk nchi moja.duh chadema waongo sana.
acha unafiki, mlikuwa wapi? Kama unataka kumuuliza kupata uhakika ntakupm, hata jina la kiongoz huyo wa washili hulijui.
 
nadhani swala ambalo CDM wanahitaji kujipanga kwa nguvu ni kuhakikisha wananchi wenye uwezo wa kupiga kura wajitokeze kwa wingi siku hiyo na la muhimu zaidi ni kulinda kura zisichakachuliwe na CCM. hapo ushindi lazima uje
 
Timu kampeni ya ngome cdm mkijipanga vizuri hii ya arumeru na kuwapa nguvu na mbinu makampena wenu vijijini hii ngoma tunachukua isiwe km ile ya wale jamaa wanaotafuta hela
 
Timu kampeni ya ngome cdm mkijipanga vizuri hii ya arumeru na kuwapa nguvu na mbinu makampena wenu vijijini hii ngoma tunachukua isiwe km ile ya wale jamaa wanaotafuta hela
ustaadh nenda Arumeru acha kukaa Dar mie ijumaa natia timu tukutane Segera number ya ngu ni ileile niliyokuwa nayo Igunga
 
Hakuna ushahidi wa kutosha kwenye hili, picha imejificha ficha sana, nani anaweza kuthibitisha kwamba huyo anayeshikwa kichwani ni nasari?

we uthbtishe kama nani?na ukisha thbtisha itakusaidia nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom