Washenzi wa Afrika ni kina nani? Je, hii ni tafsiri sahihi kwa nyalaka ya dini dhidi ya Waafrika?

Mkiitwa washenzinakasirika.
Na ushenzi ndo huu

Zamani kidogo connection zilipovuja zilipigwa vita kinyama, zikaja za kina umber ruty nazo zikapigwa vita mwishoe ndo ikawa staili mpya ya kusambaza video za ngono aisee.

Sasahivi mambo yamebadilika tena, ni connection za mashoga na zinaonekana za kawaida tu na zinatembea kinyama daaah.
 
Daaahh nimeiona ila swali ni kwamba nani alikuwa anarekodi??ina maana hiyo ilikuwa 4some..au paparazi haesabiki.hahaha..halafu mkunwaji inaonyesha hajazoea bdo vizuri maana ansukumiwa kipande hadi anataka kukimbia..
Connection wapi, sina whatsap, insta wala twiiter..

Nakosa mambo mazuri, hadi anataka kukimbia

Hahahah
 
Sitaki kuongea mengi, pitia haya maandishi kutoka kwenye hii nyalaka, ambayo kwa muonekano ni kama vile ni ya Roman Catholic.

Ninachotaka kujua, hii tafsiri ni sahihi? Na Je, kama sio sahihi, basi hao washenzi wa Afrika waliokusudiwa ni kina nani?

Hii nyalaka nimekuwa nayo zaidi ya mwezi sasa, ila tafsiri yake imenipa ukakasi sana kwa upande wangu ndio maana nimeomba ufafanuzi wenu. View attachment 2021105
Sasa mkuu unaokota kipande cha karatasi halafu unaanza kukikasirikia.

Hujui hata jina la kitabu au asili ya andishi lenyewe halafu unapata shida kiasi hicho.

Mbaya zaidi umekihusisha hicho kipande cha karatasi na ukatoliki bila kuweka ushahidi.

Kwa afya ya akili yako usipende kuokota maandishi na kuyakasirikia bila kuyafanyiae uchunguzi wa kina kujua chanzo, malengo yake nk

Asante.

Ila washenzi wapo na kuwaombea Ni jambo jema. Tatizo tu Ni kwa vile Ni washenzi wa Afrika.
 
Daaahh nimeiona ila swali ni kwamba nani alikuwa anarekodi??ina maana hiyo ilikuwa 4some..au paparazi haesabiki.hahaha..halafu mkunwaji inaonyesha hajazoea bdo vizuri maana ansukumiwa kipande hadi anataka kukimbia..
Hehehe
 
Washenzi wale waliandika ushenzi wa kuwaombea washenzi wa Afrika kishenzi Sana!

Washenzi wa Afrika ni washenzi kama washenzi wengine imagine washenzi wale wakawaamini washenzi hao na kufuata ushenzi wao wakati Kila jamii Ina mambo yake!
 
kabla sijasema lolote wataalam nijuzeni ushezi ni nn na mshezi na Nani ?


Dini hapo wamenichanganya
Kwanza ushenzi sio tusi, mshenzi NI mtu ambaye hajastaarabika, kwa mimi nilivyoielewa karatasi NI kwamba ujumbe huo ulitumwa miaka ya nyuma sana kabla hizo dini zao hazijafika kwa mababa wa mababu zetu na haikuja kwa lugha hiyo ila aliyetafsiri ametafsiri neno kwa neno pia jinsi alivyoelewa yeye. Binafsi.sijaona ubaya wowote hasa ukichukulia ushenzi sio tusi
 
Back
Top Bottom