Washenzi wa Afrika ni kina nani? Je, hii ni tafsiri sahihi kwa nyalaka ya dini dhidi ya Waafrika?

Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
16,216
40,949
Sitaki kuongea mengi, pitia haya maandishi kutoka kwenye hii nyalaka, ambayo kwa muonekano ni kama vile ni ya Roman Catholic.

Ninachotaka kujua, hii tafsiri ni sahihi? Na Je, kama sio sahihi, basi hao washenzi wa Afrika waliokusudiwa ni kina nani?

Hii nyalaka nimekuwa nayo zaidi ya mwezi sasa, ila tafsiri yake imenipa ukakasi sana kwa upande wangu ndio maana nimeomba ufafanuzi wenu.
IMG-20211122-WA0001.jpg
 
Waandishi watakuwa na sababu iliyowapelekea kuandika hivyo hicho kitu sio cha bahati mbaya sasa kuhusu uhalali wa maandiko hayo ni juu yetu wasomaji kuchukulia serious au kiutani.
 
Hii sala imetungwa na binadamu wanaodhani wanajua vizuri tafsiri ya washenzi. Sasa sijui Mungu kama anasikiliza na kufanyia kazi sala kama hizo sijui.
 
Ina maana mtu mweusi ndio mshenzi kwani amepokea imani asiyo asili yake. Hata kubatiza walisita! Walisema hivi! " Kama kweli wewe ni binadamu wa kweli nakubatiza" Ukidharau mila yako ni haki kuitwa "mshenzi"
 
kabla sijasema lolote wataalam nijuzeni ushezi ni nn na mshezi na Nani ?


Dini hapo wamenichanganya
 
Back
Top Bottom