Washawasha la Pink: Lina madhara yoyote?

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Juzi waandamaji huko Uganda walikumbana na washawasha la pink. Nimesoma kuwa hii style ilikuwa inatumika sana kipindi cha ubaguzi wa rangi Afrika Kusini. Washawasha la pink alikutumia Tunisia, Misri au hata Libya. Pia sijaliona huko Middle East. Lakani majirani zetu wanalo na wanalitumia. Je lina mdhara yoyote kwa binadamu? Linatengezwa wapi? Tanzania tunalo kwenye maghala yetu ya washawasha?

article-0-0BFD682D00000578-641_634x416.jpg


article-0-0BFE1FB400000578-679_634x424.jpg


article-0-0BFD620600000578-128_634x414.jpg


article-0-0BFD684400000578-672_634x472.jpg
 
Duh si mchezo , mbona inachafua na nguo?

Au wanataka watu wasijichanganye na raia. Maana maandamano ya bongo unaweza kukuta Chadema anavua Kombati ghafla anabaki na kibukta hiyo inasaidia ku identify who is who:biggrin1:
 
Back
Top Bottom