Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

Zandrano una uhakiki gani huyo bibi yako SASHA ni mzalendo na siyo mzandiki kama hao unaowasema?
 
Ana ile dhana ya kutaka kuonekana mzuri kwa wanaomzunguka. Sidhani kama anaishughulisha akili yake at all. Anachoambiwa tu, yeye anaanguka signature. Kazi tunayo kubwa sana kama nchi. Tuna bahati mbaya sana.
 
Waliokuwa na wasiwasi naye tangu anaongia walikuwa sahihi kabisa. Amewavunja moyo wengi sana huyu mama. Kumbe ndio yuko hivi! Ndio maana nchi ilikuwa kwenye giza hata wakati wa mwenda zake. Hawa ndio watu waliokuwa wamemzunguka Jiwe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom