Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,496
- 3,233
Swala la Kupendwa au kutopendwa na Manguruwe wala hata halihusiani na Mada..Mzee wako kazinguaAcha ujinga wewe, tangu lini BBC, VOA n.k wakaipenda Afrika?
Siku zote hivyo vyombo vya habari vya wazungu asilimia kubwa vinatangaza mambo mabaya yanayohusu Afrika,
Je unaweza kueleza mambo mabaya aliyoelezea leo Raisi hadi useme eti Rais asiongee hadi CORONA ipite "pumbavu kabisa wewe "
Watu msiwe kama Bendera fuata upepo kwa kufikiri kila jambo linalofuata na wazungu ni zuri.
Wazungu hao ndio wameanzisha ushoga, usagaji, ndoa za jinsia moja na uchafu mwingine mwingi kwenye jamii.
Leo wewe mjinga unataka Rais aongee vitu vya kupendeza wazungu, unasikitisha sana.
Watanzania mnatakiwa kujua kwanza ajenda kwanza zilizopo kwenye huu ugonjwa ndio muhoji kama Rais anaongea ukweli au uongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gaddafi alikua hapendwi ila Alikua ni Mfano wa kuigwa kuanzia Matendo Mpaka kauli ndio maana alichafuliwa na Hao Mabeberu unao sema
Haya njoo nyumbani kwako Jiwe unaona mambo yake? anavyo ropoka ropoka hovyo? Mambo mengine tunatiana aibu tu Mtu Iconic unaongea vitu ambayo havina Logic si Bora angetulia sasa au na wewe unataka kusema Majibu baada ya vipimo ni ya uongo? kwama tusema hamna Covid kwetu sio?
Haya mbona watu wanakufa wanazikwa usiku kwa usiku
Mbona ye mwenyewe kajifungia umo aliko? aje basi Dar