Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,175
- 22,576
kuna wakati ukweli unatakiwa kusemwa wala haijalishi utauma vipi. Mshambuliaji wa yanga Fiston Kalala Mayele ni high class, haina budi washambuliaji wengine kujifunza hasa yule kijana Bob Marley kutoka simba..
Kupitia mechi ya leo yanga vs Mbeya Kwanza, unaona namna Mayele anavyokuwa hatari hata Kama hatofunga. Kwenye Box la mbeya kwanza karibu movement za hatari zote amehusika kwa kiasi kikubwa.
Ana hasira na lango, hachoki na wala haridhiki kabisa, Wenzie akina Bob Marley huko mpka sasa hakuna cha maana walichofanya zaidi ya kukimbia kama mwizi uwanjani. Nikiwa kama simba kindakindaki nashauri haya kwa wachezaji wetu tusije aibika tena tarehe 11.
Hivyo haina budi kina kagere na strikers wengine wajifunze kwa mayele. He is another level.
NB: tuzo ya jana Messi hakustahili kabisa aucho alifaa 😁😁