Washakata umeme na leo ndo 9 december.

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Tanesco vipi tunajiandaa watu kuangalia gwaride mshafanya yenu kwa nini lakin? kama kuna mgao wa umeme si mseme ukweli tu kuwa punzi ndogo root ndefu hii aibu tena siku ya muhimu leo umeme kukatwa.

Mheshimiwa angaika nao hao Tanesco wanakudanganya hali tete mgao wa umeme upo msitudanganye watz.
 
Tumeambiwa ni hitilafu, 15 december tatizo litaisha, vumilia mkuu
 
Wengine tumekatiwa mida ya tisa/kumi alfajiri...
I wish tanesco ipate mshindani km mitandao ya simu...yaje ya wakute ya ttcl....
Tofali nipo ukerewe home wamefunga mobisol, naona tunapeta tu huo mgao hatuujui, naona watu wakilalamika tu
 
Wengine tumekatiwa mida ya tisa/kumi alfajiri...
I wish tanesco ipate mshindani km mitandao ya simu...yaje ya wakute ya ttcl....
We sio tofali ,daah una mwaga point namna hii badili jina maana tofali ninalolijua mm ni restless
 
Back
Top Bottom