Waserikali mshahara tayari

bomouwa

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,149
798
Habari wana jamvi?
Wale waliikua na pereeeeereee kuhusu mshahara waangalie maana kilio chenu kimejibiwa tangu jana saa tisa na leo wote tayari.

Nawasilisha
 
Pamoja na kuleta taarifa nzuri,lakini binafsi nimeona
kama post yako haina maadili.
 
:) :) awamu hii tutaona mengii, sahivi msahara unauliziwa kama boom, zamani enzi za upigaji watu hawana hata habari za mshahara
 
Back
Top Bottom