only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,525
...Nilikuwa na wazee wa Simba uwanja wa Jamuhuri hapa Dodoma siku za karibuni,mzee mmoja wa Simba akasema ni bora ubingwa uende kwa Yanga au Villa Squad kuliko Azama FC.Lakini pia wa Yanga nao wanasema ni bora Simba au hata Villa Squad wachukue ubingwa kuliko Azam FC...Kwa hali navyoiona Azam hawezi chukua ubingwa kwasababu ya zengwe la wazee wa SIMBA na YANGA pale TFF..Azam FC wabakie na CHAMANZI yao ubingwa mtausikia kwenye bomba....