Wasemaji wa Serikali hovyo- Mambo ya Nje hii

MpigfilimbiwaHamelin

JF-Expert Member
Aug 5, 2014
652
165
Jinsi serikali ilivyopangwa kimfumo, kila wizara na idara huhusika na kuwajibika kwa mambo yanayoishusu. Asubuhi hii msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje somebody Kiziga? alihojiwa na BBC.

Alichoulizwa ni kuhusu mkutano wa wakuu wa EAC. Msemaji huyo aliendelea kubwabwaja hata masuala yasiyoihusu wizara yake kuhusu hali ya wakimbizi na uingiaji wao nchini. Hili kimsingi msemaji ni Wizara ya mambo ya Ndani.

Anyway, kilichoudhi zaidi ni kutoa taarifa zisizo na ukweli kuwa hali ya wakimbizi ni mbaya sana na inaendelea kuwa mbaya na wanaendelea kumiminika nchini.

Ukweli ni kuwa kiafya ugonjwa wa kipindupindu uliolipuka kambini umeshadhibitiwa, na hakuna kifo chochote zaidi ya wiki nzima sasa. Pia wakimbizi hawaji kwa wingi tena na kijijini Kagunga wameshaondolewa karibu wote.

Hivi hawa wasemaji wetu wa wizara hawajui mipaka ya kazi yao? na why hawawi na taarifa up to date? kwa nini hawawaelekezi wanahabari kwa responsible persons? Je si ukilaza huu?
 
Jinsi serikali ilivyopangwa kimfumo, kila wizara na idara huhusika na kuwajibika kwa mambo yanayoishusu. Asubuhi hii msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje somebody Kiziga? alihojiwa na BBC. Alichoulizwa ni kuhusu mkutano wa wakuu wa EAC. Msemaji huyo aliendelea kubwabwaja hata masuala yasiyoihusu wizara yake kuhusu hali ya wakimbizi na uingiaji wao nchini. Hili kimsingi msemaji ni Wizara ya mambo ya Ndani.
Anyway, kilichoudhi zaidi ni kutoa taarifa zisizo na ukweli kuwa hali ya wakimbizi ni mbaya sana na inaendelea kuwa mbaya na wanaendelea kumiminika nchini.
Ukweli ni kuwa kiafya ugonjwa wa kipindupindu uliolipuka kambini umeshadhibitiwa, na hakuna kifo chochote zaidi ya wiki nzima sasa. Pia wakimbizi hawaji kwa wingi tena na kijijini Kagunga wameshaondolewa karibu wote.
Hivi hawa wasemaji wetu wa wizara hawajui mipaka ya kazi yao? na why hawawi na taarifa up to date? kwa nini hawawaelekezi wanahabari kwa responsible persons? Je si ukilaza huu?

na wewe ni msemaji wa wizara ya afya au mambo ya ndani?
 
na wewe ni msemaji wa wizara ya afya au mambo ya ndani?

uko mbali na habari ndugu, rejea taarifa za RMO Kigoma, taarifa za OXFAM, UNHCR na wadau wengine, hivi waTZ why mnakuwa nyuma hivyo kihabari? ndio mnaodanganywa kirahisi coz you are not informed, you don't search for information like huyu hapa. Uvivu wa kufikiri umekuja hadi uvivu wa kusikilza!!!!!
 
uko mbali na habari ndugu, rejea taarifa za rmo kigoma, taarifa za oxfam, unhcr na wadau wengine, hivi watz why mnakuwa nyuma hivyo kihabari? Ndio mnaodanganywa kirahisi coz you are not informed, you don't search for information like huyu hapa. Uvivu wa kufikiri umekuja hadi uvivu wa kusikilza!!!!!

jibu swali...sasa umeweka ya nini humu kama wote tungekuwa na hio 'habari'??
 
jibu swali...sasa umeweka ya nini humu kama wote tungekuwa na hio 'habari'??

Imekugusa eeh, safi sanaa, na nakufaham vema. But hoja yangu ni hii: rekebisheni hayo usitokwe na povu bure mi sio msemaji wa W/Afya wala Mambo ya Ndani, mlishaambiwa na Mwl. kuwa wananchi wanataka habari, ziwe za kweli, nyie mnapakuwa tu.......
 
imekugusa eeh, safi sanaa, na nakufaham vema. But hoja yangu ni hii: Rekebisheni hayo usitokwe na povu bure mi sio msemaji wa w/afya wala mambo ya ndani, mlishaambiwa na mwl. Kuwa wananchi wanataka habari, ziwe za kweli, nyie mnapakuwa tu.......

assumptions mbaya sana....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom