Wasanii wote wa WCB na NLM Wana show Ila KMW na KINGS matumbo joto Kuna la kujifunza kuanzisha LABEL

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,519
2,047
Habarini Wana Jf

Niende moja kwa moja kwenye topic, kiukweli label kuoperate sio Lele mama Kama wengi wao wanavyozania maana inahitaji moyo wa Chuma Kama alio nao Rayvanny na Diamond platinumz maana wao ndio wameikamata hii industry kwa kuonesha Ni jinsi gani Wana core values za music and always they thinking about making money.

Na pia inaonyesha jinsi gani wasanii wao wamekua na wanakubalika kila nyanja kwa ukubwa sawasawa na wengine na kwa kila kitu kuanzia Utunzi,nyota na usupestar tofauti na waupande wapili.

N.B:tusidanganyane WCB na NLM ndio label kubwa East Africa nlkwa ujumla.
 
Ndio maana hujapata reply sababu ya upumbavu Dada
 
Mkuu leta mapicha na mavideo ya show kutoka kwa wasanii wetu matajiri wa kimataifa

Shusha maphoto mazeee
 
Habarini Wana Jf

Niende moja kwa moja kwenye topic, kiukweli label kuoperate sio Lele mama Kama wengi wao wanavyozania maana inahitaji moyo wa Chuma Kama alio nao Rayvanny na Diamond platinumz maana wao ndio wameikamata hii industry kwa kuonesha Ni jinsi gani Wana core values za music and always they thinking about making money.

Na pia inaonyesha jinsi gani wasanii wao wamekua na wanakubalika kila nyanja kwa ukubwa sawasawa na wengine na kwa kila kitu kuanzia Utunzi,nyota na usupestar tofauti na waupande wapili.

N.B:tusidanganyane WCB na NLM ndio label kubwa East Africa nlkwa ujumla.
Tarehe ya show ya queen darlin na lavalava ikifika nishtue..hawa watu noma kwa kushambulia jukwaa
 
Habarini Wana Jf

Niende moja kwa moja kwenye topic, kiukweli label kuoperate sio Lele mama Kama wengi wao wanavyozania maana inahitaji moyo wa Chuma Kama alio nao Rayvanny na Diamond platinumz maana wao ndio wameikamata hii industry kwa kuonesha Ni jinsi gani Wana core values za music and always they thinking about making money.

Na pia inaonyesha jinsi gani wasanii wao wamekua na wanakubalika kila nyanja kwa ukubwa sawasawa na wengine na kwa kila kitu kuanzia Utunzi,nyota na usupestar tofauti na waupande wapili.

N.B:tusidanganyane WCB na NLM ndio label kubwa East Africa nlkwa ujumla.
Nimechelewa picha na video za show walizopiga zikowapi,mbona ujapost Mana Uzi bila picha Wala video haunogi,au Mambo yalibuma
 
Back
Top Bottom