wasanii WCB nyinyi ni waajiriwa mizigo.. bosi wenu anawabeba tu.. yeye ndio anaejua mziki

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,520
habari wadau..

nikiifatilia WCB kwa miaka mingi nimegundua diamond ndio mfanyakazi bora... yeye ni bosi lakini anaimba vizuri kuliko wafanyakazi wake...

kwenye kucheza kwenye show yeye ndie anaecheza vizuri kuliko ma dancer wake.. yaani ni kama anawapa mishahara ya bure tu..

nyimbo za diamond ni zinaeleweka na zinavutia kuliko za wafanyakazi wake..

kiasi kwamba diamond amefikia stage ya akiamua wimbo wake mmoja mfano I miss you angeauandika tu na kuuweka melody.. kisha akamchukua hata iyobo amwambie uimbe wewe.. na angejifanya huo wimbo kautunga iyobo..
ingekuwa bonge ya hit kwa iyobo..

kuna show wanaperform kwenye african football award wanacheza namba 1 remix.. yaani bosi anacheza vizuri kuliko anaowalipa mishahara...

na mwishoni akaruka mikono juu kichwa chini na kuanza kurusha miguu juu huku kina iyobo wanashangaa tu.. yaani staffs hawafanyi majukumu yao hadi bosi wao anawazidi...

ndio maana wawekezaji wanalamika wafanyakazi wa tanzania ni mizigo wanawaza mishahara tu.

angalia nyimbo mpya ya diamond.. kisha linganisha za wasanii wake walizotoa.. yaani zao hazieleweki.. huku bosi anaeleweka anatembea na melody na biti mpaka raha...

ukweli kabisa wcb team mjirekebishe...muache mnyonya bosi wenu
 
Unakunywa kinywaji gani mkuu ambacho kinakufanya usione ata ubora wa Ray Vanny mtu mbayaa kijana we mbeya

Ama ni wewe diamond umeamua ulalamike kwa mgongo WA id nyingine baada ya vyuma kukaza.... Ama umetumwa na mond? Kiufupi apambane na hali yake..
 
haha ha hah mkuu umenifurahisha eti anarusha miguu akina iyobo wanamshangaa
 
habari wadau..

nikiifatilia WCB kwa miaka mingi nimegundua diamond ndio mfanyakazi bora... yeye ni bosi lakini anaimba vizuri kuliko wafanyakazi wake...

kwenye kucheza kwenye show yeye ndie anaecheza vizuri kuliko ma dancer wake.. yaani ni kama anawapa mishahara ya bure tu..

nyimbo za diamond ni zinaeleweka na zinavutia kuliko za wafanyakazi wake..

kiasi kwamba diamond amefikia stage ya akiamua wimbo wake mmoja mfano I miss you angeauandika tu na kuuweka melody.. kisha akamchukua hata iyobo amwambie uimbe wewe.. na angejifanya huo wimbo kautunga iyobo..
ingekuwa bonge ya hit kwa iyobo..

kuna show wanaperform kwenye african football award wanacheza namba 1 remix.. yaani bosi anacheza vizuri kuliko anaowalipa mishahara...

na mwishoni akaruka mikono juu kichwa chini na kuanza kurusha miguu juu huku kina iyobo wanashangaa tu.. yaani staffs hawafanyi majukumu yao hadi bosi wao anawazidi...

ndio maana wawekezaji wanalamika wafanyakazi wa tanzania ni mizigo wanawaza mishahara tu.

angalia nyimbo mpya ya diamond.. kisha linganisha za wasanii wake walizotoa.. yaani zao hazieleweki.. huku bosi anaeleweka anatembea na melody na biti mpaka raha...

ukweli kabisa wcb team mjirekebishe...muache mnyonya bosi wenu

Ha haaa aione kifesi
 
Awamu hii Waajiriwa wana kazi sana yani hawapumui, haijarishi yupo Sekta ya Umma au Binafsi ni kusimangwa tu!!!
 
Back
Top Bottom