Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,715
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models.

Sasa wewe msanii umekaa miaka 10 unaota kununua Rolls Royce sasa umepata vihela vyako vya madafu umeenda marekani umevuta bangi ukajiona umepiga picha na wasanii wakubwa sasa unaendana na hadhi zao ukaona uvunje kibubu chako chote ununue Rolls Royce sawa sasa umeingia mtego jomba mwakani inatoka black badge ya 2022 Davido ataposti ya kwake je na wewe je utaendana na mwendo wake au utaishiwa pumzi nguvu za soda.

Kulikuwa na msanii alipiga hela bwana kwa siku alikua ananunua corolla tatu mfululizo kwa viitikio vya chekechea kapiga bangi zake na masaa 24 kashika chupa lake la konyagi, wewe sijui unaweka nini kwenye viglasi vyako vyekundu masaa 24 labda hennessy, ila bwana mwenzio wa ukuti ukuti kafulia chali.

Mike tyson alikuwa na hela chafu kwa siku alikua ananunua Rolls Royce nne kafulia chali...,

Mc hammer alikua msanii mkubwa dunia nzima ukitoa Michael jackson enzi hizo alipiga hela mbaya sana alikua na chawa kama wote ananunua Rolls Royce alafu anasahau kama alinunua Rolls Royce ananunua tena kumbe iko kwa cousin wake. Kafulia fasta....

Msanii ujue kwamba ku maintain status quo kwa presha za wanaharakati wa mitandaoni ni kujitafutia anguko lako, wote tunajua hela hiyo hunaa, sijui umefanyaje fanyaje ila tuna uhakika mwakani Rolls-royce black badge 2022 hutoboi, kama una pumzi tuletee kontena jipya mwakani kama hujauza vikorokoro vyako vyote. Alafu hizo Gari mwaka moja unatakiwa uipaki trust me hakuna fundi atagusa hiyo labda uiache ndani kama pambo.
 
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utatakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models.
Kusaka na kuspend ndio maishaa..
 
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utatakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la
Mateso unayopata sio ya ulimwengu huu..yote hii kwa pesa na matumizi ya mtu mwingine. GTFOH
 
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utatakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models.
Screenshot_20210716-085657_Instagram.jpg
 
Huyu mwamba instagram anaumia sana na mafanikio ya dai... alileta uzi hapa kuwa jamaa kavaa saa fake kulingana na wataalamu wake wa buza vichochoroni... kanunua RR kaumia kweli utafikiri kaachwa na demu wake!

Mzee zile ndala zako za umoja ulizonunua mwaka juzi mbona mpaka leo unazo? hujui km kuna toleo jipya limeingia pale mwenge unapoendaga kuchek viwalo vyako?
 
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utatakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models.
Niliambiwaga duniani kuna watu wachawi!! Basi wewe ni mchawi mchawi wa kutupwa..una roho mbaya sana!! akifulia anakuhusu nin? Jali familia yako na maisha yako
 
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utatakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models.
Masikini, ukute hata Ist hauna.
 
Ktu m naona wabongo hatujajua hyu jamaa anahesabu kal sana msidhan ayo magar atakua anazurula nayo yeye tu sku zote hzo gar ztakua znakodishwa kwenye misafara ya wapenda sifa mjin kama kina vunja bei na ma mwamba wngine unakuta kakupangia rosroys v8 mbil na cadlak moja na escot ya bodgad kwa masaa 3 ml 10 au 20 unadhan watu hawata kod? Je maharus?

Mabaloz au waarabu wafanyabiashara wakubwa wakija nnchin wanakuaga na selectv ya usafir wanaitaka kutumia kwa sku watakao kua nchin kwaio wote hatujui mipango yake lakn samtme tue tunawaza chanya pia kwenye jambo mtu akifanya
Nawasilisha japo mm sio chawa wala alistote
 
Ktu m naona wabongo hatujajua hyu jamaa anahesabu kal sana msidhan ayo magar atakua anazurula nayo yeye tu sku zote hzo gar ztakua znakodishwa kwenye misafara ya wapenda sifa mjin kama kina vunja bei na ma mwamba wngine unakuta kakupangia rosroys v8 mbil na cadlak moja na escot ya bodgad kwa masaa 3 ml 10 au 20 unadhan watu hawata kod? Je maharus? Mabaloz au waarabu wafanyabiashara wakubwa wakija nnchin wanakuaga na selectv ya usafir wanaitaka kutumia kwa sku watakao kua nchin kwaio wote hatujui mipango yake lakn samtme tue tunawaza chanya pia kwenye jambo mtu akifanya
Nawasilisha japo mm sio chawa wala alistote
Sio rahisi yeye kufanya hivyo coz watu watamsema amefulia.
 
Huko sahihi na hii ni biashara ya kawaida huko Marekani na inalipa sana, Ata Ricky Rose anafanya biashara hii
 
Similar Discussions

35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom