Wasanii wamuziki wa kizazi kipya wanagawiwa viwanja Dar

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Serikali imetukumbuka tumepewa viwanja ndio tuko kwenye foleni hapa ofisi za SHIWATA ilala Bungoni. Kama kuna mwandishi wa HABARI aje anihoji sijawahi kuhojiwa na mwandishi hasa wa TV naomba mjee na raha sana hapa tunatoa laki 1 tu kama ada.

Kama kuna msanii ambaye hajasikia hii habari naomba mumfahamishe.
 
Duh!thats real gud,lkn msipende vya bureeeeeeeeee

sasa mimi ni DOKTA LIDA nipo makorola,itakuwaje?
 
Hivi wasanii wa kizazi kipya wana vitambulisho? vipi kuhusu wasanii wa kizazi kilichopita wao vipi? watapewa viwanja au ndio kampeni....??
 
What's the big deal watu kupewa viwanja na serikali? Serikali imekuwa ikifanya hivyo since times immemorial! Mimi siyo mwanamuziki lakini nilipewa kiwanja three years ago!
 
mmmmh kampeni zimeanza!

bure kabisa kabisa.......zero shillings?! lol

faidi Nguli............kura yako unajua pakuipeleka
 
Msiniulize maswali makali kama polisi
Mwishowe mtaja nipiga bure mufilisi
cha muhimu na kiwanja na si cha wizi
hakuna asiyependa cha bure hata kiziwi
Mwaijua bei ya kiwanja sala sala?
 
CCM wana rushwa za kila aina. Hapa kazi ipo, wafanyakazi wameongezewa mishahara kiduchu ili wapunguze makelele, wasanii mnahongwa viwanja ili muipigie kampeni CCM. Chukueni viwanja, halafu kampeni ipigieni CHADEMA. Na wewe unayetaka kuhojiwa, utakapohojiwa waambie waandishi wa habari kwamba unatambua kuwa hiyo ni rushwa.
 
Thanks,

Ninachojua mimi ni kwamba wasanii wanauziwa viwanja viko chanika kwa bei poa {around 300,000} na tayari zaidi ya watano wameshaanza kutafuta wateja waviuze tena bei poa sana

Sikujua kwamba kuna vya bure kabisa [maana dezo inaua]
 
cha bure kitamu ..................lakini hala hala tu manake wazee wa zamani wanasema 'cha bure kina gharama' :confused2:
 
Wanataka kuwa deceive kipindi hiki cha uchaguzi. Watu wanavunjiwa nyumba au kupata majanga hawapewi hata hivyo viwanja iweje watu wanaofanya kazi na kupata hela tena wengine wanavutia unga na kulewea tu bila kufanya kitu cha maana wapewe? Kisa nini kama siyo agenda za siri? Wale wa mikoani wamewakumbukaje au Kampeni mwisho ni Dar?
 
Nguli ni msanii? ndio Juma au TID?..lol...hii serikali nayo cjaona kwanini wawagawie nyie, hao wa hapo jangwani wangestahili zaidi.
 
What's the big deal watu kupewa viwanja na serikali? Serikali imekuwa ikifanya hivyo since times immemorial! Mimi siyo mwanamuziki lakini nilipewa kiwanja three years ago!

What was the secret behind
 
Wanataka kuwa deceive kipindi hiki cha uchaguzi. Watu wanavunjiwa nyumba au kupata majanga hawapewi hata hivyo viwanja iweje watu wanaofanya kazi na kupata hela tena wengine wanavutia unga na kulewea tu bila kufanya kitu cha maana wapewe? Kisa nini kama siyo agenda za siri? Wale wa mikoani wamewakumbukaje au Kampeni mwisho ni Dar?

:mad2::mad2: mkubwa una hasira hili ni tusi kwetu mimi nimetoa taarifa tu jamani serikali imetufaa nimetoa mpaka eneo tuliloko na niko kwenye foleni hapa hata mr. Sugu nimesikia yuko njiani naye anakuja kulamba kiwanja yeye nafikiri watampa O'bay/masaki :becky:
 
Serikali imetukumbuka tumepewa viwanja ndio tuko kwenye foleni hapa ofisi za SHIWATA ilala Bungoni. Kama kuna mwandishi wa HABARI aje anihoji sijawahi kuhojiwa na mwandishi hasa wa TV naomba mjee na raha sana hapa tunatoa laki 1 tu kama ada.

Kama kuna msanii ambaye hajasikia hii habari naomba mumfahamishe.
Mko sehemu gani tena ili niwaelekeze TAKUKURU..
 
What's the big deal watu kupewa viwanja na serikali? Serikali imekuwa ikifanya hivyo since times immemorial! Mimi siyo mwanamuziki lakini nilipewa kiwanja three years ago!

ulipewa kiwanja bure na serikali???

Mtoto wa nani wewe? Makamba? Rostam, JK au lowassa?
 
Back
Top Bottom