Wasanii wameendelea kutufurahisha na kuelimisha kupitia michoro yao

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Wasanii wameendelea kutufurahisha na kuelimisha kupitia michoro yao.

Hapa ni mchoro ambao mimi nimeshindwa kuuelewa namba mwenye uelewa wa habari picha atusaidie kutusomea tafadhali.
IMG_20200228_064739.jpeg

In God we Trust
 
Asante sana mkuu kwa taarifa
Anayopitia hosn Mubarak ujumbe kwa wote wanaokumbatia ubinywaji haki za raia nchini mwao. Na wote waliojitabiria kuwa wafungwa wa baadae

In God we Trust
 
Mkuu huyo naona kama yule wa Sudan
Anayopitia hosn Mubarak ujumbe kwa wote wanaokumbatia ubinywaji haki za raia nchini mwao. Na wote waliojitabiria kuwa wafungwa wa baadae

In God we Trust
 
Anayopitia hosn Mubarak ujumbe kwa wote wanaokumbatia ubinywaji haki za raia nchini mwao. Na wote waliojitabiria kuwa wafungwa wa baadae

Japo kwenye picha ni Omar al-Bashir former presidaa wa Sudan mkuu ila moral of the story ninakubaliana.
 
Watawala wa kiafrica wanazisahau sana kuziboresha jela wakati wao ni wafungwa watarajiwa zama zimebadilika
 
Hapa Bavicha inatoka toka wapi? Hiyo picha imeletwa na DW alafu unaweweseka na Bavicha? USSR,

In God we Trust
 
Kama Lugola alivyo kuwa anashabikia na kuwasisitizia wafungwa walime na kuzalisha chakula chao wenyewe
Watawala wa kiafrica wanazisahau sana kuziboresha jela wakati wao ni wafungwa watarajiwa zama zimebadilika

In God we Trust
 
Back
Top Bottom