Gabriel Junior
Member
- May 7, 2019
- 19
- 18
- Thread starter
- #21
Joh makin uwezo wa kawaida anao huwez linganisha na Huyo lord eyez japo kwa tetesi inasemekan yy na mdogo wake nick wa pili hawapend kuweka Mali zao publicMkuu ukijibiwa naomba unitag.
Joh makin uwezo wa kawaida anao huwez linganisha na Huyo lord eyez japo kwa tetesi inasemekan yy na mdogo wake nick wa pili hawapend kuweka Mali zao publicMkuu ukijibiwa naomba unitag.
Vibangi/madawaTID nn vimemkubali?
Tid anayeishi kwao hadi leo
Huyu huyu TID ninayemjua mimi ama mwingine?Hapo ukiangalia tatizo kubwa lililowarudisha nyuma ni bangi/madawa
Msanii pekee hivyo vitu vimemkubali ni TID
Anawakilisha wanaume wa dar huyo.Tid anayeishi kwao hadi leo
Amefanikiwa kuanza kuvaa vile vijinsi modo vilivyochanika magotini huku akiongea ki-daslam.Joh makin ana mafanikio gani??
Wana mali gani???Joh makin uwezo wa kawaida anao huwez linganisha na Huyo lord eyez japo kwa tetesi inasemekan yy na mdogo wake nick wa pili hawapend kuweka Mali zao public
Hiyo balaaAmefanikiwa kuanza kuvaa vile vijinsi modo vilivyochanika magotini huku akiongea ki-daslam.
Hapo ukiangalia tatizo kubwa lililowarudisha nyuma ni bangi/madawa
Msanii pekee hivyo vitu vimemkubali ni TID
Mbona nae zimemuharibuVibangi/madawa
AY na Mwana FAnitajie msanii mwenye uhakika wa milo minne na geto la maana tofauti na diamond and kiba
Komando Jide, Navy Kenzo, Juxnitajie msanii mwenye uhakika wa milo minne na geto la maana tofauti na diamond and kiba
Mbona nae zimemuharibu
Hata wa kiume sioni tatizo, kwa nini akakae sehemu nyingine kama kwao kupo na nyumba iko tupuHuyo ni wa kike sio mbaya sana, nadhani kwa sasa yuko kwenye government quarters!
Mbona hapo mwisho umejipinga mwenyeweHao wengine nakubali but Lord eyes big no Labda kwa A town.Lord eyes hana uwezo wa kupiga show peke Yake akajaza!