Elections 2010 Wasanii waliomponda Sugu kwenye majukwaa ya CCM waanza kujipendekeza...

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Akihojiwa na Bongo Radio msemaji wa Joseph Mbilinyi a.ka Mr. Sugu(MB elect) ndugu G. Solo amesema kuna baadhi ya wasanii waliokuwa wakimpiga vita Sugu kwenye majukwaa ya CCM wameanza kujipendekeza, amesema wengine walikuwa wanakwenda Mbeya kufanya Shoo makusudi ili kumchafulia Sugu bila hata kumsalimia leo wameanza kumpigia simu. Lakini anawapa live kuwa wao waendelee kutumiwa tu na CCM kama mipira na baadaye kutupwa na yeye anaenda bungeni kuwatumikia wananchi ikiwa ni pamoja na masilahi yao(wasanii).
 
Wasanii njaa zinawaua bongo, watabaki kujiuza kama kina nakaya! sugu ni tofauti sana na wengi, pia kuna vijana wawili watatu pale dar, a-town na moro: vijana wenye misimamo chanya! Hongera "Sugu"!
 
SUGU chonde chonde nenda ukawatetee wenzako na uache kuwa na visirani nao.
Kumbuka TO FORGIVE AND FORGET
 
Wasaniii ni wazee wa kuchakacuwaaaaa,mr suguuuu usilipize kisasi chadema tupo powaaaaaaaaaaa wape ushirikiano

mapinduziiiii daimaaaaa
 
Mr Sugu HONGERA SANA!
Uliamua kuwa upande unaokufaa kuonyesha hisia zako. Hawa wengine ndo hivyo tena. Waliponzwa na mtindo wa siku zote kwamba, ukijikomba unakumbukwa, lakini sasa sijui kama watanufaika kiasi walichotegemea.

Sugu, wachunge hao wasije hamishia kujikomba kwao kwako. Waambie wabaki huko huko walikokwenda bila kufikiria.

Wamezoea, wakishindwa kujikomba kwa Rais wanahamia kwa mtoto, mke, shemeji, nk.
 
sugu chonde chonde nenda ukawatetee wenzako na uache kuwa na visirani nao.
Kumbuka to forgive and forget

sugu ni mbunge wetu wa mbeya mjini na siyo mbunge wa wasanii wa tanzania, wao si waliwapigia debe ccm, basi sisiem iwatetee, acha wafu wazike wafu wenzao!
 
Hahahahaha! Mimi namkumbuka Nakaya tu! Lol masikini ya Mungu!
 
Akihojiwa na Bongo Radio msemaji wa Joseph Mbilinyi a.ka Mr. Sugu(MB elect) ndugu G. Solo amesema kuna baadhi ya wasanii waliokuwa wakimpiga vita Sugu kwenye majukwaa ya CCM wameanza kujipendekeza, amesema wengine walikuwa wanakwenda Mbeya kufanya Shoo makusudi ili kumchafulia Sugu bila hata kumsalimia leo wameanza kumpigia simu. Lakini anawapa live kuwa wao waendelee kutumiwa tu na CCM kama mipira na baadaye kutupwa na yeye anaenda bungeni kuwatumikia wananchi ikiwa ni pamoja na masilahi yao(wasanii).

Unamaanisha ile ya kiume ?
 
SUGU MAKAMUZI YAENDELEE..... sipati picha nakaaya sumari huko alipo anajisikiaje.
 
Kuna wengine baada ya uchaguzi huu ndio tiketi ya kuporomoka kimuziki ..yetu macho sipendi niwataje ila wanajijua wenyewe
 
Nakaya ni mnafiki wa kutupwa na nimeapa kamwe sitosikiliza nyimbo zake wala kumpa sapoti ya aina yoyote ile, Mr. Politician kumbe ilikuwa ni kwa manufaa yake binafsi, shame on you Nakaya tulijua tumepata binti jasiri mwenye msimamo na uchungu wa nchi yake kumbe hovyooooooo mbinafsi mkubwa. Wewe na wengine wote ya aina yako ni kichefuchefu kwa watanzania.
 
Sugu wasamehe sio kwa matakwa yao ila kumbe walidakwa kule uchina badala ya kuchezea kamba mkulu akaenda kuwatetea mchina asitoe adhabu ya mwisho kama ile ya mwisho wa chifu mkawa. Waliporudi bongo wakaamua kumfanyia kampeni. Si unajua mambo ya anita,anita wangu na yule piipii...wakuu hii mwaijua? So,SUGU wasamee!
 
Nakaya ni mnafiki wa kutupwa na nimeapa kamwe sitosikiliza nyimbo zake wala kumpa sapoti ya aina yoyote ile, Mr. Politician kumbe ilikuwa ni kwa manufaa yake binafsi, shame on you Nakaya tulijua tumepata binti jasiri mwenye msimamo na uchungu wa nchi yake kumbe hovyooooooo mbinafsi mkubwa. Wewe na wengine wote ya aina yako ni kichefuchefu kwa watanzania.

Mimi pia Nakaya, Marlow, ze comedy, michuzi blog na wengineo wamenipoteza kwa bahati, I will never listen nor watch them. Well, huenda nisiwe na madhara yeyote kiuchumi kwao lakini naheshimu utu wangu, hivyo vimilioni vichache vya kifisadi vya thithiem wameona muhimu kuliko maisha ya watz waliowapa hayo majina? Shame on them kwa wasanii wote waliopigia debe thithiem ilihali wanajuwa ni chama cha kifisadi kisichojali maisha wa masikini wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom