Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,410
- 39,479
Habarini Wadau,
Katika Tasnia ya Muziki wa hapa nchini, kuna Wasanii pamoja na kuwepo katika industry hii wamejitahidi sana kutokuhusishwa na skendo za kuwachafua hovyo hovyo.
Hata pale panapotokea kuwa wanahusishwa na Skendo ghafla inaonekana kama wanasingiziwa tu. Ukiacha wale wakongwe wa Zamani kama akina Mbaraka Mwinshehe, King kikii, wale wa Band mbalimbali n.k
Kuna vijana pia wamejitahidi kuzuia skendoz..mimi ninaowafahamu ni hawa:-
-Banana Zorro
-Lina
-MwanaFA
-Fid Q (Ya umarioo ni kusingiziwa)
-Jay Mo
-Weusi (ya kubebwa nafikiri ni rumuors)
Taja wengine...