Wasanii wakali wasio na tuzo binafsi Bongo

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Sep 29, 2019
1,317
1,229
Nadhani kichwa kinasomeka vyema.

Haya mi naanza na hawa wawili

1. JUMA NATURE - Ikumbukwe huyu anayo ile ya channel O pekee, licha ya ukubwa na ngoma kali zote unazozijua ameshiriki kwa namna moja au nyingine lakini hana hata tuzo moja ya hapa nyumbani.

2. BELLE 9 - Hakuna mwenye akili timamu aliye na mashaka na talanta ya huyu jamaa sasa sijui ndiyo ule usemi wa "NABII HAKUBALIKI KWAO"

Ongeza wako unao wafahamu wakali na hawana tuzo

Let's go...
 
Back
Top Bottom