WASANII WAFUATAO WANATAKIWA NA MAKONDA JUMATATU

KABIDO

Member
Oct 26, 2015
74
117
*WASANII WAFUATAO
WANATAKIWA NA MAKONDA
JUMATATU*
Christian bella
Dimond
Ally kiba Dogo janja
Chege
Jack wolper
Iren uoya
Madee
Baraka tino
wasanii hawa wanatakiwa na
makonda wa daladala za mbagala
bunju ili waweze kufanya show katika
tamasha la uzinduzi wa tshet za Makonda wa daladala
 
Mbona katika hao Wasanii Paulo Makonda hayumo?
9ccb2b8b83101128aa59b7aad85d2b64.jpg
 
Kweli jogoo la shamba hata iweje haliwiki mjini, alivamia jiji na kujiona ana akili kuzidi watu wote kwenye jiji, anatishia mpaka kuwafukuza watu kwenye mkoa wake, sasa yeye ndio atalikimbia jiji, atakuwa kama digidigi haonekani mtaani
 
Back
Top Bottom