Wasanii wa Tasnia ya Filamu mnaelewa Rais Samia alichokifanya Marekani? Je, mnamjua Waziri Mohamed O. Mchengerwa?

Kama SON IN LAW anajua, kwa nini asiwafanyie badala ya kusubiri k

Nilipo soma hapa nomekupuuza! Unatabia ya kujipendekeza.

Kwanza kila kiongozi lazima awe na aina yake ya uongozi kulingana na wakati anao ongoza!.

Hii kauli haifai kwa mtu uliyesoma na kuelima wakati unachambua mambo kwa upana.

Tanzania ipo na itaendelea kuwepo kama Nchi zingine. Bila kujali anatawala kiongozi wa aina gani.
Relax..Tunazungumzia uongozi huu, waliopita walifanya kwa utashi wao pia
 
Hv ktk ziara hii ya uzinduzi wa loyo tua kn wasanii walienda huko km study tour au exchange program? Au hata watu wa body ya filamu walienda kujifunza chochote juu ya mambo ya filamu
 
Mleta mada mbona unaandika vitu kasma unakimbizwa?
Ziara mbona haina mambo ya utamaduni kabisa?
Mchengerwa ameingiaje hapa?
Nahisi mna 'ujomba' ndio unakusukuma hadi unaandika ufyongo!
 
Nikusaidie kidogo, vifaa bila ubora wa mtu ni sawa na kulikimbilia bus lililokuacha.

Kwanza inatakiwa elimu, mafunzo nk, baadaye ndiyo sijui hiyo uliyosema studio, mfano diamond kwa sababu tayari ameweza kuivaa ofisi aliyopo now anarekodi popote anapotaka japo anayo studio na vijana walioshiba kwenye industry.

Kulikuwa na ile studio ya kisasa ya muziki ambayo serikali iliweka mkono wake, nadhani kupitia THT 'kama sijakosea' iko wapi na nini kinafanyika?
Tatizo kwenye filamu bado ni pana sana...hasa kuanzia kwenye elimu na utaalam ktk uandishi, uongozaji, utengenezaji etc bado saana!
 
Tatizo kwenye filamu bado ni pana sana...hasa kuanzia kwenye elimu na utaalam ktk uandishi, uongozaji, utengenezaji etc bado saana!
Kama Wasanii wataamua kutumia hii opportunity wanaweza fika mbali, waende shule, washirikishe Wataalaam kwenye sekta utofauti, etc
 
Back
Top Bottom