Wasanii wa Tanzania wanaofanya kazi na "World Class Celebrities" watusaidie kuwashawishi ili tuwatumie katika kuitangaza nchi yetu kwa gharama nafuu??

Post nzuri sema sasa uswahili unatutafuna watanzania. Tukiacha kufanya mambo kiubabaishaji na kufuata protocols na sheria za kila kitu hata hao celebrities watakuwa na moyo wa kushuka bongo na kututangaza.

Sasa imagine unaingia kwenye mkoa licha ya kuwa na kajina au laa wewe ni mtu wa kawaida unakutana na mkuu wa mkoa ambaye ni mungu mtu kama Sir😂buyer
 
Back
Top Bottom