Wasanii wa Tanzania msione aibu kumtumia Kenny wa Zoom Production ku-shoot video zenu, eti kwa kuwa kampuni inamilikwa na Diamond !

Zoom production ni ya harmonize na sio diamond
CHECK WALL YAKE INSTAGRAM:
31033978_896647693856418_5154257941167079424_n.jpg

diamondplatnumz
VerifiedFollowing

Chibu Dangote..!

The Rolls Royce Musician From Africa|Founder & Managing Director of Wasafi Limited / Wasafi Media & Zoom Production Company |bookplatnumz@gmail.comyoutu.be/w8eUTOYrkDM
 
Unaleta stori za Mange, sasa hiyo Zoom imshinde Diamond wakati mwaka huu katoa milioni 108 tu kuwasaidia watu (Hawa na Sumbawanga) , hata kama unamchukia mtu si hivyo.

Tulia kijana.... hakuna mtu kasema diamond hawezi kumiliki kitu kama hiyo zoom ninachosema Zoom siyo yake ni ya mdogo wake Harmonize
 
Yale yale umekremisha.

Naijua vizuri sana Zoom...Vyombo vyote hivyo Camera na vinginevyo Harmonize amepewa na mwanamke wake wa kizungu.

Kapewa pia vyombo vya band na studio ya muziki huyo Harmonize yupo vizuri sana.

Siyo kukremisha najua vizuri ninachosema.
 
Mimi mwenyewe najua vizuri vyombo vyote alinunua Diamond SA,naona unataka ligi ngoja tuanze.
 
Naijua vizuri sana Zoom...Vyombo vyote hivyo Camera na vinginevyo Harmonize amepewa na mwanamke wake wa kizungu.

Kapewa pia vyombo vya band na studio ya muziki huyo Harmonize yupo vizuri sana.

Siyo kukremisha najua vizuri ninachosema.

kama harmonize angekuwa vizuri.. yeye harmonize ndie angekuwa bosi wa diamond.. harmonize kama ni mbwa basi diamond ndie mwenye mbwa.... kwa misaada anayotoa diamond.. kununua camera ni kitu kidogo sana..

mtaji wa vifaa vyote vya video .. haizidi milioni 100... diamond sumbawanga tu katoa msaada milioni 110, tandale katoa msaada zaidi ya milion 200...

mkataba wake wa kuitangaza bellaire.. ni unampa diamond hela nyingi sana na sana... bado show zake na za wasanii wake kina harmonize.. bado wasafi tv shares
 
Back
Top Bottom