Wasanii wa Nigeria Wana akili sana kuliko hawa wala ubwabwa wa kampeni huku kwetu

Kimsingi wasanii wa bongo wengi ni vilaza hilo halina shaka kabisa

Wengine ukiwauliza hata hii #EndSARS wanayotweet chanzo ni nini watakuwa hawajui

On the other side

✓Hatuwezi kuwalaumu sana wasanii kwa sababu hakuna raia waliowahi kuanzisha movement yoyote ili tuseme kuwa celebs hawaku join hiyo move

✓Ila pia hawa celebs inabidi wakae pembeni na siasa..awamu hii tumeona wakijikomba komba sana na wanasiasa lakini ni wa upande mmoja na huo upande umeleta majanga kibao bongo hapa..So it's better wangekuwa neutral,japo hii nchi ni ya demokrasia
 
We huna akili hata ya kujiongeza... Kubwa jinga kweli wewe... Mwili tembo, akili kisoda....

Hayo maandamano huko Naijeria unajua ni nani kayaanzisha? Davido? Wizkid? Yemi Alade? Au ni msanii yupi?

We upo hapa bongo kutwa kuwalalamikia wasanii mitandaoni waingie road, waingie kufanya nini? Waanzishe maandamano kupinga nin? Hawapati stahiki zao? Wamezuiwa kufanya matamasha? Au kuna nini kinachoendelea kuwahusu wasanii?

Vipi kwani? Mbona we hatukuoni barabarani ukiandamana ili tuje kukuunga mkono?

Vumbapu kabisa hili gozi jeusi la kibongo, kila kitu wanataka tuige.. Je tungefikia hata nusu ya yanayotokea Korea Kaskazini si tungekuwa maiti sahiv?

Limtu linakazania tuandamane eti kwa vile flani kauawa, sijui huyu katekwa, mara yule kapigwa risasi.. Sasa vitu vyao personal vinatuhusu nini sisi? Tunajua lolote kwanini walifanyiwa hayo?

Mara sijui hakuna uhuru wa kuongea! Hahahaaah! Aiseee, hv nani kawafumba midomo mpaka muwe mabubu? Kwahiyo leo ni mwaka wa ngapi hujaongea?

Waacheni wasanii wafanye wanachotaka
Mwandiko huu na tone hii kama ya Le Mutuz vile!!
 
Hivi kuna kipengele chochote kwenye katiba kinachoruhusu kumuua yule anaendamana? Iwe kwa kibali au kwa kutokuwa na kibali? Kama kipo hicho kipengele basi atakayekupinga ni mpumbavu tu , ila kama hakipo basi kuna mawili.
1.Wewe ni muoga kwa kiwango kwamba inakubidi uongee uongo hata ikiwezekana kwenda kinyume na katiba ya nchi ili usikilizwe .
2.Labda unalipwa vizuri kusambaza peopaganda yaani unafaidika kwa maumivu ya watanzania wengi kwa lugha nyengine utaitwa traitor .
we huoni waandamaji wanavyopigwa shaba, sasa sijui hivyo vipengele vyako kwenye katiba vinawarudishiaga maisha au inakuwa imetoka.
 
Umeandika ujinga mwingi mpaka kukujibu naona itachukua muda wangu mwingi kukuelewesha!
Kwa ufupi tu,hawa wasanii wetu wamejikuta kimbelembele kwa yanayotokea Nigeria!Lakini wakati huo huo yalipotokea nchini walikuwa kimya sana!Ukiangalia ya mtwara na kibiti utaona unafiki wa wasanii hawa!Naona hujamwelewa mleta mada na umeishia kubwatuka tu,idiot!
sasa kwa tukio la kibiti ulitaka wananchii waandamane ili iweje ikiwa jeshi la polisi tayari lilishaanza kupambana na hao majambazi. Tukio la kibiti na Nigeria hayafanani kabisa!
 
waliandamana au walikemea mtandaoni?
Wataandama vipi wakati sheria zilizopo haziruhusu maandamano wewe? Kule nigeria na kwingine sheria zao zinaruhusu maambamano ya amani. Kwa hiyo kushindwa kuandamana wa kulaumiwa ni yule anaekandamiza hii haki ya kuandamana. Wanasiana wamekuwa wakikemea ukandamizaji wa hii haki. Wasanii wapo wapi kwenye kukemea hili?
 
We huna akili hata ya kujiongeza... Kubwa jinga kweli wewe... Mwili tembo, akili kisoda....

Hayo maandamano huko Naijeria unajua ni nani kayaanzisha? Davido? Wizkid? Yemi Alade? Au ni msanii yupi?

We upo hapa bongo kutwa kuwalalamikia wasanii mitandaoni waingie road, waingie kufanya nini? Waanzishe maandamano kupinga nin? Hawapati stahiki zao? Wamezuiwa kufanya matamasha? Au kuna nini kinachoendelea kuwahusu wasanii?

Vipi kwani? Mbona we hatukuoni barabarani ukiandamana ili tuje kukuunga mkono?

Vumbapu kabisa hili gozi jeusi la kibongo, kila kitu wanataka tuige.. Je tungefikia hata nusu ya yanayotokea Korea Kaskazini si tungekuwa maiti sahiv?

Limtu linakazania tuandamane eti kwa vile flani kauawa, sijui huyu katekwa, mara yule kapigwa risasi.. Sasa vitu vyao personal vinatuhusu nini sisi? Tunajua lolote kwanini walifanyiwa hayo?

Mara sijui hakuna uhuru wa kuongea! Hahahaaah! Aiseee, hv nani kawafumba midomo mpaka muwe mabubu? Kwahiyo leo ni mwaka wa ngapi hujaongea?

Waacheni wasanii wafanye wanachotaka
Mkuu,

Kuna nati moja imechomoka kichwani kwako

Nenda gereji
 
Kumbe walianza wananchi halafu ndo celebs wakajoin? Sasa ni lini hapa wananchi wameanza maandamano ya kupigania jambo?
Maandamano yaliyowahi fanyika uwa yameratibiwa na wanasiasa wenye malengo ya kisiasa tofauti na haya ya hawa wapopo ndiyo maana hata mwanzilishi hajulikani.
Hebu wananchi waandamane tuone kama wasanii hawajaunga mkono, lakini kama hilo halijafanyika kwanini tuwalaumu? Au mnataka waanze wao halafu wananchi ndiyo waje kuunga mkono?
Kwanza wasanii wanawingi gani wa kuanzisha maandamano?
 
Mbona mnakazania sana maandamano? Mtoa uzi wapi kasema waandamane?

Yeye ujumbe wake ni wao kuunga mkono hata kwa hashtag, kama ma celeb wengine duniani kote walivyofanya kuhusu endsars.

Sasa wewe celeb wa bongo una-hash tag mambo ya naija wakati hayo hayo yanatokea kwako upo kimya!! Kwa misingi hii busara kwako ingekuwa kukaa kimya kwa hayo yanayotokea naija kuliko kujifanya unajali kumbe mnafiki mtupu!!
 
Back
Top Bottom