Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, mmesahau kabisa harakati za SUGU kupigania muziki wenu usimame?

SUGU hajaanza kudai maslahi ya wasanii leo. Usichanganye issue ya dili la malaria na harakati za SUGU. Jongwe kafanya TANZANIA HIPHOP SUMMIT kubwa pale Wet n Wild mwaka 2004, nani amewahi kufanya kitu kama hiko? issue ya malaria ni suala binafsi sana. Usichanganye.
Sugu alisnitch,kwa nini akubaliane na ruge kuhusu madai ya wasanii,yeye kama yeye bila kuongea na vinega????? Natumai haki itendeke katika kesi yake,lakini kwenye suala la clouds Sugu alisnitch
 
Suala la Sugu kuwa msanii si ticketi ya yeye kutetewa na wasanii wenzake kwa makosa anayoyafanya kwenye jukwaa la siasa. Kikubwa ni kumkumbusha Sugu kwamba kuna usemi unasema "Pambana na hali yako"
 
Kweli kqbisa yupo ndani kwa kutukana na siyo kutetea wananchi hivyo akomae kivyake
Suala la Sugu kuwa msanii si ticketi ya yeye kutetewa na wasanii wenzake kwa makosa anayoyafanya kwenye jukwaa la siasa. Kikubwa ni kumkumbusha Sugu kwamba kuna usemi unasema "Pambana na hali yako"
 
Back
Top Bottom