Elections 2010 Wasanii wa kizazi kipya wameitosa demokrasia nasi tuwatose

kanyabuleza

Member
Apr 27, 2008
18
8
Hawa vijana wamepata umaarufu kupitia vijana wenzao tukaacha muziki wa kimagharibi na kununua kazi zao za sanaa na kuhudhuria matamasha yao leo hii wanatuona sisi hatunazo na MIRAJI na BABA yake ndo wa maana................NATOA HOAJA TUWATOSE NA TUSAMBAZE KAZI ZAO BURE KWENYE MTANDAO...........
 
Hivi wewe bado huwa unasikiliza bongo flava??... Mie nishaacha zamaaaani nakula "hip hop ngumu' nyimbo za wana harakati kama mh. Uncle sugu, wagosi wa kaya, mapacha -pasu kwa pasu, roma, j-mo, mwamba wa kaskazini, diwani kala pina na kikosi cha mizinga etc.... Hao bongo fleva wabana pua na waimba mapenzi hawana nafasi ya kuchafu ubongo wangu....
 
Tuwape pongezi wale waliokomaa na Mr. II hadi mwisho, Mkoloni, Gsolo, AY na wengine, wameonyesha uzalendo wa kweli na si uchumia tumbo
 
Hiyo ni sahihi kabisa wakati sera mbovu za ccm ndio chanzo cha kuibiwa kazi zao. Sasa nasi tunawatosa ...........
 
Yaani hawa madogo akili zao sijui ziko wapi, hata ilani yenyewe ya CCM imewatosa, wao wanang'ang'ania tuuu
 
Nina hasira sana na huyu jamaa anayejiita marlow ikiruhusiwa nitakuwa wa kwanza kuapload kazi zake zote za huyu fa..la
 
tuwamalize kabisa kwani vijana kama hawa ni wanafiki na wazandiki maroo wimbo wake kautosa na umekuwa wa ovyooooooooooo
 
Nina hasira sana na huyu jamaa anayejiita marlow ikiruhusiwa nitakuwa wa kwanza kuapload kazi zake zote za huyu fa..la

KWANI NANI KAKUZUIA KUWEKA HIZO NYIMBO ZISIZOKUWA NA COPYRIGHTS HEWANI WATU WAKATUMIA UBUNIVU MBOVU WA KU-SAMPLE KAZI ZA MBELE BILA RUHUSA...WEKA VIJIKAZI VYAO HEWANI WATU WAWAHUJUMILIE MBALI NA WAKAFILIE MBALI... mwaga mboga nimwage ugali, weka ugoko niweke jiwe hunitishi kwa manati white..muziki sio ku-copy zi-pompypompy zi-pompile pampampa.....ahahaha juma natureeeeeee kibla rudi baba naona bongo flava wanaharibu muziki...waungane na jon komba waimbe kwaya
 
Watoswe kabisa hasa wale waliojipambanua na kupinga mabadiliko ya kweli
 
Hao ni wakali tu wa muziki wao na "stage entertainment excellency".
Mtu fulani akawagundua kwamba wanaweza wakasaidia kufanikisha uchaguzi, akawakodi.
Sasa wapinzani (competitors) wakizidiwa mapigo nadhani inabidi wanyoshe mikono tu, na wajifunze tayari kwa ngwe nyingine.
Ni kama vile mtu umeamua kutumia technolojia iliyopo kufanya kazi zako kirahisi. Je wengine wakiamua kutumia mtulinga waje wakulaumu, na vilevile wadai technolojia hiyo ipigwe marufuku, ni haki kweli hiyo?

Vijana wapewe hongera kwa kuchukua mwanya huo uliopatikana, kuonyesha muziki wao.
 
Jamani, acheni hasira. Wale ni watanzania wenzetu. Tusibaguane kwasababu ya siasa. Wanatafuta hela wale, na pengine walimchagua dr. Slaa.
 
Hawajajua kama walikuwa wanatumiwa sasa wasubiri waone mwenzao kapigana kachukua mbeya walikuwa wanamdharau sasa waone matokea yake
 
Jamani, acheni hasira. Wale ni watanzania wenzetu. Tusibaguane kwasababu ya siasa. Wanatafuta hela wale, na pengine walimchagua dr. Slaa.

Na kampeni zote walizokuwa wanaipigia CCMhalafu leo waipigie CHADEMA ni wanafiki sana
 
Kweli huyu anaeitwa Marlow anatia ki-chefu^2

Lakini Kama ataomba Msamaha, Asamehewe... maana ni mtoto anaetaka kuganga njaa.
Hii iwe fundisho kwa wasanii wengine (nakaya, et al), Wajifunze kusoma Alama za Nyakati.
 
Tutawaadhibu ngoja uuchaguzi uishe. Wasishangae single zao zitapokuwa kitaa kabla hazijafika redioni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom