Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

Aiseee Hardman na Fatma waliimba lile goma lao linaitwa TAMALA lilibamba kinoma noma. Hilo la Eno Mic nakumbuka mwaka 2003 kuna jamaa zangu Waingereza walinikutaga nasikiliza kwenye Walk-Man wakalipenda kinoma, wakaomba niwaandikiage mistari yake. Daah hata kiganda chenyewe nikawa sijui, nikaandikaga pumba tu ila kuvimba tu kwa totoz za Scotland, such good memories............
Tamala binafsi ni one of my favorite song of all the time. bila kumsahau producer mika mwamba alitisha sana kwenye beat
 
List haiwezi kukamilika bila kumuweka Fatma yule dada yake na Hardmad, dada alikuwa anaimba aisee, kipindi hiko bila kumuweka kwenye chorus wimbo wako haukubaliki kitaa.

Ule wimbo wa Eno mic wa Ziggy D wa Uganda mpaka leo nausikilizaga saana hasa kile kisauti cha huyu bidada.
Hivi huyu Fatma ndio yule jamaa wa kundi la WAWILI walikua wanapenda kumshirikisha?
 
Uishi milele EYCE,
Uishi milele wewe mtaalam.
Nadhani kuna nyimbo zao hao wanamama ni timeless.
Ila wooooote naona mmemsahau dada yetu kipenzi Saida Karoli.

😂😂😂😂 brother brother, im humbled aseee

hata wewe mtaalamu pia

Saida naona toka Ruge Mutahaba afariki ndio bhasi tena
 
Kuna yule mdada aliimba 'Kalamu na Karatasi' ft Nuruel.

Anaitwa nani? Yupo wapi nowadays?

Huyo mdada aliwahi onekana kwenye video fulani ya James Dandu kama nakumbuka vyema.

-Kaveli-
 
Vumilia kama angeendelea shusha ngoma nafikiri Jide angekuwa analamba nyayo zake kipindi hiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom