Wasanii wa bongo mtakuja kufungwa buree acheni copy n paste za kitoto!!!

Jay-Z::::1-900 Hustler


Izzo Bizness:::Utarudishwa
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kuiangalia hii kwa mitazamo miwili.

Mmoja wa copyright, ambao kwa huu, kama hakuna maelewano ya kutumia sampling, mtoa mada yuko sawa 100%.

Mtazamo wa pili ni wa culture ya underground hip hop, ambao unaruhusu sampling readily, na umetoa wasanii mashuhuri kama DJ Premier ambaye mpaka katika skit moja, nafikiri ni katika "The Owners" anakandya violators wanao snitch kuhusu Primo katumia sample ya nani na ka scratch record ya nani.

I have to say the sampling is rather extensive even for Hip Hops liberal "paying homage" licenses.
 
Back
Top Bottom