Wasanii wa bongo movie

Contigo

Member
Nov 25, 2012
5
1
Sijapendezwa na tabia za wasanii wa bongo movie kabisa hasa wa kike. Nadhani watanzania wenzangu mtaungana na mimi kwa asilimia zote. Nawasihii wabadilike kwani kwa tabia zao hawatafika popote.
 
Hii siyo ya utani hii, peleka jukwaa husika!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom